Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Japan ni nyumbani kwa YAMAHA mabigwa wa kutengeneza vinanda vikubwa. Sijaona bei za Used yamaha electone organs EL 900, 90, NK
 
Nimepata Engin ya mashine yangu nikishaifunga kwenye Grader likifanya kazi vizuri nita comment Mkuu nashukuru kwa uaminifu wenu
 
Unaweza kuoshea magari au kunyunyizia dawa kwenye mashamba ya mikorosho michungwa nk
Engine imefungwa mashine yangu unafanya kazi kama mpya opareter kaniambia sasa nitakupa tena kuna ndugu yangu ana Grader D7 limekufa alienda komatsu dar wakampigia hesabu ndefu akashindwa nitamleta hapo yardini kweni nfanye naye Biashara
 
Vipi kuhusu kodi, Mfano nimenunua matairi ya gari kwa 400,000/= kodi nitalipa shilingi ngapi? clearance ya mzigo mnafanya wenyewe? kuna gharama zozote zinaongezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…