Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Samsung S8 mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Manufacturers :Samsung
name :Galaxy S8 SM-G950U
carrier :SIM free
color : Arctic silver
liquid crystal :5.8 -inch
OS:Android 6 on and after
HDD:64GB
SIM throttle :Nano
Memory card throttle : microSD
camera : have
wireless LAN/Wifi: have
te The ring : have
Bluetooth: have
*fingerprint authentication : have

accessory
charge cable
AC adapter
23576.jpg
original
 
Spare za magari mnauza kwa pisi moja moja!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka Spare kwajili ya biashara toa list ya magari unayotaka kisha toa maelekezo jinsi ya kuyakata sehemu gani tupakie sehemu gani tusipakie kazi kwako na kama utaka Engine gea box kwajili ya gari lako bodo utapata usisahau kujisajili kwenye website yetu Subscriber www.digxam.com
 
Je ni aina gani ya gari unamiliki, Digxam.com tupo tayari kukupa ushauri na kukuunganisha na wauza vipuli wa uhakika kutoka sehemu mbalimbali lengo na madhumuni yetu ni kuhakikisha wewe utapata vipuli vya uhakika kulingana na gari lako,

Ukweli ni kwamba kuna wauza spare wengi ambao wanauza spare za gari kama lako lakini tatizo ni jinsi ya kukupata Digxam.com ni sehemu pekee ambayo itakusaidia kukuunganisha na wauza spare au wanunuzi wote tukutane kwenye forum ya vipuli,

Okoa muda wako kwenda kutafuta vipuli, kupitia kwenye jukwaa hili utaweza kupata vipuli vya kila aina.Baiskeli za mtumba za mashindano za watoto zakawaida pikipiki na vifaa vingine vilivyo Nchini

1. Ingia kwenye local forum
2. Bidhaa za kuagiza ambazo hazipo kwenye website ingia kwenye jukwaa la Japan

Jinsi ya kujisajili ingia kwenye foram ili uweze kushiriki
1.bonyeza maandishi ya kijani
2.Bonyeza New topic
3. Subject andika kichwa cha habari
4.Tuma picha na maelezo au maelezo ya kujitosheleza.
5.Upload file au choose file
6.Ujumbe
7.Weka tiki kwenye Subscribe to this top
8.Submit
 
Website yenu ya Ki LOCAL sana hapo friendly user kama site zingine za ku purchase bidhaa mtandaoni
 
Website yenu ya Ki LOCAL sana hapo friendly user kama site zingine za ku purchase bidhaa mtandaoni
Wewe ndio local unataka website ambaya itakuruhusu ufanye purchase bila hata mia kwenye acount yako mbona mimi nime purchase bila shida tena hawa jamaa site yao ni mzuri sana ukisha fanya manunuzi kuna futures kibao ambazo kwa uzoefu wangu wa kununua vitu online site nyingi hazina acha kuwangia biashara za watu mbona wewe unauza bidhaa zako mkononi na watu tunanunua kuna ufriedly gani hapo
 
Kumbe hakuna SANDUKU LA MAONI
Ungekua mnunuzi usingeongea pumba zako namshanga mwenye Uzi wake mpole Mimi ningekutukana mitusi ya nguoni kama umekwama ungeuliza ukaelimishwa mbona mwenyewe Uzi wake yuko available anajibu watu na kuwaelimisha
 
Ungekua mnunuzi usingeongea pumba zako namshanga mwenye Uzi wake mpole Mimi ningekutukana mitusi ya nguoni kama umekwama ungeuliza ukaelimishwa mbona mwenyewe Uzi wake yuko available anajibu watu na kuwaelimisha
Mbona site yao ipo vizuri tu, unaona bidhaa na maelekezo ya kutosha. Yeye anataka iwe kama Alibaba au eBay? I'm

Huyo sio mnunuzi. Mnunuzi anasema wapi amekwama anasaidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom