Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Habari mkuu natafuta
1.Generator ya KVA 5,000 USED kutoka Japan
2.Cren ya 10
4. Engine ya D6 Grade cat zinaingiliana na Komatsu
5.Camping Car
6.Removable office
kama vipo vyote naomba picha
 
Mkuu kuna wind turbines kwa matumizi ya nyumbani?
1.Picha na bei yake
2.kiwango cha umeme inaozalisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hii
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna wind turbines kwa matumizi ya nyumbani?
1.Picha na bei yake
2.kiwango cha umeme inaozalisha

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Sawa baadhi ya vifaa bei zinajulikana baada ya mnda kuisha vema ukaingia kwenye website ukaangalia current Bid
2.Kiwango cha umeme machine nyingi zinatumia umeme wa 110 lakini tuna step down zinapokea umeme wa 220v nakutoa 110 v
 
Habari mkuu natafuta
1.Generator ya KVA 5,000 USED kutoka Japan
2.Cren ya 10
4. Engine ya D6 Grade cat zinaingiliana na Komatsu
5.Camping Car
6.Removable office
kama vipo vyote naomba picha
Mkuu machine ya D6 nayo bado mbichi ni pm nikupe maelekezo
 
Wateja wanaotaka kununua Meli Boat kubwa Vivuko na bulk cargo mitambo ya miradi mbalimbali Wakandalasi kuna offa za tiketi za ndege bure mnunuzi anaweza kuongozana na mtu wake wa karibu kila moja atapata tike yake ya Emirates Dar Tokyo na kurudi wote mnakaribishwa.
mkuu unawajua wabongo au hio ticket inaambatana na clause ya kwamba lazima ununue kitu...., angalia usijikute badala ya kuwa mfanyabiashara ukawa mtu wa kutoa charity ya watu kwenda holiday....
 
Kiongozi naomba niulize swali lingne bidhaa zinazokua aploded zinakaguliwa kama zinafanya kazi kama mashine mbalimbali maana kama seller anaweza kuapload bidhaa na akauza je nyie mnajihakikishia vp kama bidhaa ni nzima na imekaguliwa ili mtu asije kununua bidhaa mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
1.)Mkuu Asante kwakuliza swali Ndani ya Japan nikosa kisheria kuuza bidhaa au kitu kibovu na ndio maana ukiangalia picha za bidhaa mbalimbali utakuta sehemu yenye creki au sehemu ambazo zimechubuka panazungushiwa mstari mkubwa.

2.) Bidhaa zote zinatumwa offic kabla ya kufanya malipo kwa seller anapigiwa simu kulinganisha maelezo ya bidhaa ndani ya site.
3.)Bidhaa ikifika offini kwetu tunaikagua na kuifunga upya
 
Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanatafuta Mawakala Nchi nzima wenye uwezo wa kutafuta masoko ya bidhaa zetu zilizoko Nchini na ziliko Japan

1. Pikipiki za aina zote,

2. Mgari ya kutaka vipuli

3. Laptop

4. Desktop

5. Simu

6. Camera Lens

7. Vifaa vya kilimo trekita Pawatira Green House

8. Vifaa vya maofisini kama printer Meza nk

9. Vifaa vya matumizi ya nyumbani Mafriji Mashine za kufulia nguo Majiko

ya Ges nk

10. Vifaa vya ujenzi wa barabara na miradi mbali mbali kama Rolla Graders

Excavators

11. Magari

12. Vipuli

13. Mashine za kushona nguo za Juki Brother Singer Mitsubishi Toyota

14. Vifaa vya Gereji Mashine za kubadilisha Matairi Jeck za kunyanyua magari

Compressor

15. Majenereta

16. Saa za mkononi

17. Work stations

18. Music kama Vinanda , DVD, amplifier

19. Mabegi ya Mtumba

20. Vifaa vya mahospitalini

21. Vifaa vya uvuvi ziwani na baharini Boat Engine za Boat Meli

22. Nanyingine nyingi
1.)Maombi yote yatumwe kupitia kwenye website zetu.
2.)Andika jina
3.)Sememu unakopatikana
4.)Namba yako ya simu
5.)Bidhaa gani ungependa kuitangaza kwenye maeneo yako
5.)Mbinu gani utazitumia kutafuta wateja
6.)Baada ya kupata mteja na kununua ungependa ulipwe asilimia ngapi ya bei
Baada ya kutuma maombi yako ya uwakala na kukubaliwa Jina lako sehemu ulipo litachapishwa kwenye webite yetu.
 
Back
Top Bottom