Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Biashara za ndege Helicopter nilazima uje officeni zipo Drones unaitaka kwa matumizigani kisha nitaangalia sheria za ungizaji zinasema nitakupa jibu.
Drone kwa ajili ya matumizi ya shambani kunyunyiza dawa,kufukuzia ndege na wanyama,kukagua na kulinda shamba
 
Mashine za kutafutia madini tofauti tofauti mine detector zinazotumia drone na laptop uhitaji kutembea unakaa unaserch kwa drones zipo
 
LAMADI Fright Forwards Co LTD kwakushirikia na Digxam.com inakuletea minada ya online kila siku.

Kuwa mshindi Bid ,Nunua ,Toa offer, Bidhaa ziko nyingi sana mfano

1. Pikipiki za aina zote,

2. Mgari ya kutaka vipuli

3. Laptop

4. Desktop

5. Simu

6. Camera Lens

7. Vifaa vya kilimo trekita Pawatira Green House

8. Vifaa vya maofisini kama printer Meza nk

9. Vifaa vya matumizi ya nyumbani Mafriji Mashine za kufulia nguo Majiko

ya Ges nk

10. Vifaa vya ujenzi wa barabara na miradi mbali mbali kama Rolla Graders

Excavators

11. Magari

12. Vipuli

13. Mashine za kushona nguo za Juki Brother Singer Mitsubishi Toyota

14. Vifaa vya Gereji Mashine za kubadilisha Matairi Jeck za kunyanyua magari

Compressor

15. Majenereta

16. Saa za mkononi

17. Work stations

18. Music kama Vinanda , DVD, amplifier

19. Mabegi ya Mtumba

20. Vifaa vya mahospitalini

21. Vifaa vya uvuvi ziwani na baharini Boat Engine za Boat Meli

22. Nanyingine nyingi



Jinsi ya kujisajili kwenye website yetu

1. Fungua ukurasa wetu wa tovuti

2. Kisha weka jina la kutumia

3. Unaweka nyuira yako (Password)

4. Unabonyenyeza kitufe cha kutuma

5. Unaingia kwenye barua pepe

6. Utakua user name na( password )

7. Hakikisha unajaza taarifa zako zote pamoja na namba ya simu



Jinsi ya kushiriki kwenye Minada

1. Kujisajili kwenye webite yetu

2. Kuweka salio kwenye Acount yako

3. Ku bidi

4. Kutuma offa

5. Kununua moja kwa moja

Ukisha shinda mnada au kununua mizigo wako

Utatumiwa ujumbe kwa njia ya barua pepe kuwa umefanyikiwa kununua kitu Fulani

Utatumiwa traking namba

Ingia kwenye ukurasa wa tracker weka namba yako kujua position ya Mzigo

wako.

Mzigo wako utaandaliwa na kupakiwa kwenye container ,RORO,Ndege,au

EMS

Mzigo unachukua muda wa miezi miwili hadi mitatu kufika Dar es Salaam

kwanjia ya Container

Kwanjia ya Ndege na EMS week moja

Kama mzigo unatakiwa kusafirishwa kwenda mikoani kuna gharama za usafiri baada ya mzigo kufika offisini kwetu garama zitatozwa kulinga na ubali.

Utapataje bidhaa ambazo hazipo kwenye website yetu

1. Login

2. Fungua ukurasa wa foram

3. Tuma hitaji lako

4. Tuma na picha kama unayo au namba

5. Ngoja majibu



Kuna aina mbili za minada

1. Minada ya kila siku

2. Minada ya live kupitia YouTube facebook na kwenye website yetu

Ku bid nikupitia kwenye website tu kwingine ni kama maonyesho tu

3. Wanunuzi wa jumla mfano spare za used za Magari watapangiwa mafungu

watapewa list aina gani za spare zipo kwenye fungu na aina ya gari , Njia

mtatangaziwa siku tatu kabla ya mnada.



Njia za usafirishaji wa mizigo

1. Ndege

2. Container (Mizgo mchanganyiko)

3. RO RO (Magari na Bulk Cargo)

4. EMS (Parcels)



Ratiba ya Usafiri

1. Kila mwezi Container moja

2. EMS kila siku

3. Ndege kila siku

Fee zetu.

1. Ukipokea mzigo wako mwenyewe utalipa 2% ya bei

2. Ukiletewa nyumbani utapewa invoice kulinga na umbali .



Jinsi ya kuweka salio kwenye Acount yako kwenye website yetu

1. Utapewa namba ya wakala

2. Unaweza kuleta cash ofisini

3. Unaweza kutumia PayPal

4. Unaweza kutuma Japan

Biashara zote lazima zifanyike kupitia kwenye website ya Digxam.com Kwa maelezo zaidi tutembele kwenye ofisi yetu iliko Tabata Bima shuka kituo cha Bima uliza LAMADI Freight Forwarders Co. LTD utaelekezwa. Au piga simu ya kiganjani +255-764-837-757 Au wasiliana noja kwa moja Japan piga +81-90-1733-7447

Share nawenzako Taarifa hizi, ukipokea mzigo wako toa maoni yako changamoto zozote utakazo kumbananazo au bila changamoto nenda kwenye ukurasa wetu wa Testimonial Share na wenzako ilimradi maoni yako yasiwe ya kuposha .
Tusipoteze muda naweka 900 itapendeza sasa
 
Back
Top Bottom