Jipatie viwanja safi kabisa na vilivyopimwa Kiluvya 3km toka Mbezi

U mesahau kuwa LAWAMA KWA DALALI NI CHEO
[emoji2], japo mimi sio dalali mzee. Kampuni yetu ina mkurugenzi, meneja, kitengo cha masoko ambacho mm ni mmoja wapo , mafundi, mhasibu wa kampuni, secretary etc.
 
Weka picha
Picha ya kiwanja sio kigezo cha kukupa taswira kamili ya eneo, usiamini kiivyo, naweza nikapiga picha mandhari yoyote nzr nikakutumia kumbe ndivyo sivyo, kama una uhitaji kweli wa kiwanja njoo physical ujionee.
 
Picha ya hati
 
Mbezi na kibamba kumejaa kwa sasa na ukipata kiwanja hko basi bei yake ni ndefu sana kuanzia milion 6 na kuendelea, baada ya kibamba sasa kiluvya ndio inayokuja kwa kasi, KARIBUNI VIWANJA BADO VIPO bei kuanzia milion moja na nusu kilomita kumi, mpk milion tatu na nusu kilomita 3,maji umeme, na huduma zote za kijamii vipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…