Jirani kajenga wewe umeamua kuwa kiherehere nakuja kusema huku!
Si Ushukuru hata anakuwekea ukuta wew vepeeHabari wadau.
Nina kiwanja changu kimepimwa na manispaa ya Ubungo.
Jirani yangu naepakana nae ameamua kujenga msingi wa ukuta wake kati kati ya jiwe linalotutenganisha..
Je yupo sahihi ? Sheria ya Ardhi inaruhusu hili kutokea?
Wataalamu na wazoefu naombeni ushauri
Tazama picha. Beacon iliyowekwa na manispaa ndiyo hiyo pembeni ya mti na hayo nyuma ndio matofali ya jiraniView attachment 2371564
Kwamba amemsaidia upande wa fensi?Mshukuru jirani maana hapo na wewe umepata unafuu.
Jino kwa jino?Mwisho watalogana sasa!Kwan ile sheria ya kuacha nusu mita sijui mita moja kutoka kwenye mpaka wako unapo taka kujenge fensi imebadirika au mazaea mabaya?
Na wewe lounge hapo hapo kaishakusaidia ukuta wa upande mmoja
Huu ukuta ni wa kishari shari ndio maana nauogopa.. maana viwanja vyetu ni vya mtaa wa mwisho. Nyuma yetu kuna majirani waliojenga kienyeji enyeji..
Hao watu wote watategemea mimi ndio niwaachie njia kubwa.. maana walikuja kuomba na tukaongea na jirani wote tuingie ndani mita chache ili
wa nyuma wapate njia.
Sasa ghafla jirani kaanza jenga ukuta nyuma ya beacon kabisa. Hapo watu wa nyuma wote watategemea mimi peke yangu ndie niwape njia
Kwamba amemsaidia upande wa fensi?
Siyo kuombwa.Uchochoro kati ya nyumba na nyumba ni lazima uachwe kwa vipimo vyake kitaalamu.Ujenzi holela,ubishiubishi na maroho machafu huwa yanazua balaa.Mkalisheni chini mumueleze huyo mshari.Laa sivyo mbeleni atawasumbua zaidi.Wa wapi huyo jirani yako?Huu ukuta ni wa kishari shari ndio maana nauogopa.. maana viwanja vyetu ni vya mtaa wa mwisho. Nyuma yetu kuna majirani waliojenga kienyeji enyeji..
Hao watu wote watategemea mimi ndio niwaachie njia kubwa.. maana walikuja kuomba na tukaongea na jirani wote tuingie ndani mita chache ili wa nyuma wapate njia.
Sasa ghafla jirani kaanza jenga ukuta nyuma ya beacon kabisa
Kwann walogane wakati yeye anafanya kuunganisha tu tena hapo anamwambia jirani yake yeye atachangia ripu ya upande wa nyumba yakeJino kwa jino?Mwisho watalogana sasa!
Siyo kuombwa.Uchochoro kati ya nyumba na nyumba ni lazima uachwe kwa vipimo vyake kitaalamu.Ujenzi holela,ubishiubishi na maroho machafu huwa yanazua balaa.Mkalisheni chini mumueleze huyo mshari.Laa sivyo mbeleni atawasumbua zaidi.Wa wapi huyo jirani yako?