Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

Kanda pendwa

New Member
Joined
Aug 27, 2023
Posts
2
Reaction score
29
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
 
Kiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?
 
Kwani Kuna shida? Huwa ni kawaida tuu mkikubaliana badala ya kuacha chochoro zisizo na msingi.

Inawezekana ukawa mtu wa Mbeya wewe,nyie ni wabishi sana na wajuaji.
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Report serikali za mitaa kwanza wampe kwanza stop.... baadae kaweke urembo
 
Kiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?
Haya majambo unayaelewa. Ajifunze
 
Je kuhusu Fensi?
Fensi nayo uache mita mbili kila upande?
Mbona naonaga Fensi za watu (Mikocheni, Masaki) zimeungana
Hizo tayari wakati ule wakoloni walishaandaa na kusimamia miundombinu ile, huku tulipowekeza wakoloni wa kizazi kipya ni mantanange ndugu yangu.

Hili limenisumbua sana mtaani kwangu ila kuna wkt ubabe una faida yake ila mkienda kisheria na wote mna mpunga, itawasumbua kwa muda mrefu.
 
Kiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?
Mkuu,
Hivi viwanja vyetu vya 20x20 fensi tunajenga mpakani kabisa.
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Simple sana
Nenda Halmashsuri idara ya vibali vya ujenzi, watakuja na kumshauri kwa vitendo hapo
 
Kiwanja kimepimwa?
Kama kimepimwa je uliacha mita 1.5 kutoka kwenye jiwe la mpaka?
Kama uliacha hiyo mita 1.5 basi anakuingilia angalia sheria inasemaje. Iwapo viwanja havijapimwa pia je ulijenga fensi kwenye mpaka kabisa au ikoje?
Hivi kila mtu akiacha mita 1.5 toka kwenye mpaka ndio ajenge ukuta wa fence si mtaa utajaa vichochoro vya kufa mtu mkuu?
 
Wastani ni mita mbili kila upande, Sheria za ujenzi na ardhi zinataka hivyo. Malengo ya hili suala ni mengi ka vile kupata accessibility ya magari ya zimamoto wakati wa ajali za moto, way leave ya mtandao wa umeme, maji safi na maji taka, gas pipeline, kudhibiti kusambaa kwa ajali za moto kwa majirani, etc.
 
We muache ajenge. Akisahamaliza unaweka urembo wa madirisha kwenye fence yako
Tena hakikisha unatoboa chumbani kwake.

After that eneo hilo unaeka spika kubwa. Kila ukilala unaunga bluetooth unapiga singeli
Ahhahjajaa yaani jirani bana mbona ana vituko ?
 
Back
Top Bottom