Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

Status
Not open for further replies.
Hilo deal nenda kawape k vant wenyewe watakupa chochote kitu
 
Acha kiherehere ..kwan hata k Vant og ina vitamin gani?
Mwambie akupe katoni kazaa sambaza kwenye grocery
 
K vant og ndio haichomi figo ?
 
Kwa Vincenzo Jr
 
Kumbe huu uhuni kweli upo ndo maana kuna kipindi ukipishana chooni na mtu kala kvant choo kina harufu kama jamaa alietoka kala maharage mabichi usiku.
 
Kama Kodi nayolipa inaenda Kwa Yanga wakati najinyima Ili niwe mzalendo kumbe ujinga tu ACHA mwamba apige Hela Sasa hivi nikipata dili haramu napiga

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Alafu mbaya zaidi unaenda kuripoti , uliyemripoti anapenyezewa taarifa kuwa umemchoma😅😅😅
 
Sijawah kuona mkerewe mwenye roho nzr
Wengi wao waga wanoko,roho mbaya na wambea wambea
Kama unaona mwamba anafaidi sana mfate akupe mbinu kdg za ww kupata hela ya mboga
Hii nchi tunapigwa sana ajira hamna pesa hamna,acha mwamba ajitafutie mkate wake wa kila siku
Ningekua ww ngemuomba niungane nae na ningempa wazo la kuhamisha kiwanda ili wanoko wasije choma utambi
 
Wivu tu wa maendeleo!
 
Fcc na mamlaka ya chakula na dawa.
 
Acha wivu asee na wewe zalisha konyagi feki kama rahisi
 
Mripoti TFMDA mkuu. Ukimpeleka polisi utakuwa umeenda kuwatajirisha.
 
kumbe smartgin watu wanatoa kopi?

Ndo mana mtu akimaliza chupa mbili tu hata kuhema kwa tabu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…