Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
Tanzania tuko nyuma sana. Na hapo hajapelekwa kwenye maombi. Ukiwa kwenye familia zinazo amlni ushirikina ni lazima uteseke sana wakati unaweza kupona hospital. Yaani unapoteza maisha Kwa ujinga wao
 
Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.

Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
Ongea nao waende Mloganzila,........Acute stroke unit,kabla siku saba hazijafika,anaweza kurecover
 
Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
Si ajabu jamii yyte kuwa hivyo. Pole kwa changamoto hiyo naamini Mungu atakuwa na wewe, lkn Mimi nakushauri kama Kuna kiongozi wa kiroho mwambie ili akusaidie kushawishi pia au kama unauwezo mchukie tu hospital. Kbl ya siku hazijawa nyingi ttzo likaongezeka.
 
Hakuna mwanafamilia mmoja muelewa kidogo ukamwita chemba umpe elimu kidogo pengine upofu utawatoka?.
 
Waambie hao wanafamilia kwamba mzee wa watu kashindwa kuzmudu stress za maisha, siyo uchawi.

Na ndiyo maana ni nadra sana kukuta akina mama wakipata stroke, 95% ni wababa.
 
Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
Kuna walimu wa dini wanapumbaza sana watu. Kila kitu ni jini ni pepo shibamit 😢️😢️
 
Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
Tafuta mtu mzima wanaemuheshimu awaeleweshe.
 
Back
Top Bottom