Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Njoo RutaNije nikulinde mamii wakati unasoma.
Mimi naisoma kuanzia saa 8 usiku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo RutaNije nikulinde mamii wakati unasoma.
Mimi naisoma kuanzia saa 8 usiku.
Naomba hyo link ya huo uzi mwingine na mm niusome
Usijali nipo kikubwa umeshafika hakijaharibika kituInasikitisha
Inauma sana kujua kuwa
Nmesahaulika
Siitwagi tena!!!
Sijui kama unapenda hizi mambo we mzeeMbona mimi siitwi nawe Shunie
Wanataka jamaa aseme nikamuona mke wangu [emoji23][emoji23] mwisho waseme anasimulia vitu visivyo na mantic [emoji23]Jamani ee kwenye fasihi Kuna wahusika wakuu na wahusika napa mhusika bapa anaweza akaonekana maramoja tu kwenye stori, mhusika wetu mkuu hapa ni Big na ndugu msimuliaji basii tukomae na Jao nyiemnaotaka amtaje mkewe mnataka nini Kwa huyo mke?
Duh😆...basi badili id yako mkuu...inaogofya mwanaume akiri hadharani kuogopa vitu vidpgo🖐🙌🤸♂️Mimi jana niliogopa hata kutoka nje nilichofanya nikuhakikisha milango imefungwa vizuri
WanazinguaYaani Mimi ningekuwa mleta story ningeishia hapo...watu wanakera sana.
🤣🤣🤣majina mengine hayaakisi yaliyomo sasa mtu anajiita wagumu tunadumu kumbe mlaini zaidi ya biskutiDuh😆...basi badili id yako mkuu...inaogofya mwanaume akiri hadharani kuogopa vitu vidpgo🖐🙌🤸♂️
Si unaona wengine wanauliza huwa unanyandua saa ngapi yaani wamejaa ujingaujinga tuWanataka jamaa aseme nikamuona mke wangu [emoji23][emoji23] mwisho waseme anasimulia vitu visivyo na mantic [emoji23]
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Usidanganywe kila binadamu anaogopa hata kama ni mwanajeshi,hata mganga tu anaogopaDuh😆...basi badili id yako mkuu...inaogofya mwanaume akiri hadharani kuogopa vitu vidpgo🖐🙌🤸♂️
kwa kiwango kikubwa sanaaSio tatizo la humu JF, ni tatizo la nchi, wajinga wameongezeka.
😂😂😂Mbona mnabubujikwa na machozi eti aeleze kuhusu mke wake? Mwisho wa siku mtataka na namba za mke wake ili mumtongoze.