Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Naomba hyo link ya huo uzi mwingine na mm niusome
 
Jamani ee kwenye fasihi Kuna wahusika wakuu na wahusika napa mhusika bapa anaweza akaonekana maramoja tu kwenye stori, mhusika wetu mkuu hapa ni Big na ndugu msimuliaji basii tukomae na Jao nyiemnaotaka amtaje mkewe mnataka nini Kwa huyo mke?
Wanataka jamaa aseme nikamuona mke wangu [emoji23][emoji23] mwisho waseme anasimulia vitu visivyo na mantic [emoji23]

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wapuuzi humu umughaka umughaka umughaka utadhani yeye pekee ndo msimuliaji JF nzima. Story zake nilishazifatilia napo wajinga walikua wanamsimanga,kumkosoa,kumtukana ila nadhan wengi humu wanataman mleta mada aongelee ngono zaidi kuliko masuala ya jirani yake. Vijana wa hovyo sio kila story ina mnyanduano
 
Lete hiyo hamisini jirani kabla sijatoka hapa kuhamishia viroba chumbani kwako
FoR78B4X0AETG44.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom