Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shunie wanipa raha 😘Njoo Ruta
story za ooh mara nikampapasa mbususu zinanichefua sana..naachaga kusoma kabisaKuna watu wapuuzi humu umughaka umughaka umughaka utadhani yeye pekee ndo msimuliaji JF nzima. Story zake nilishazifatilia napo wajinga walikua wanamsimanga,kumkosoa,kumtukana ila nadhan wengi humu wanataman mleta mada aongelee ngono zaidi kuliko masuala ya jirani yake. Vijana wa hovyo sio kila story ina mnyanduano
Wanyakyusa wengi, watu wa Mbeya inawawia vigumu kuandika mpaka wanaandika mbaka, sijui shida nini??Halafu hii ya kuandika "mbaka" instead of "mpaka" naona imezoeleka hivi ni neno sahihi la kiswahili?
😂😂😂Big kama bigLete hiyo hamisini jirani kabla sijatoka hapa kuhamishia viroba chumbani kwakoView attachment 2509070
Eti jamani sauti inatosha ukooo au tuwaongezeeeKuna watu wapuuzi humu umughaka umughaka umughaka utadhani yeye pekee ndo msimuliaji JF nzima. Story zake nilishazifatilia napo wajinga walikua wanamsimanga,kumkosoa,kumtukana ila nadhan wengi humu wanataman mleta mada aongelee ngono zaidi kuliko masuala ya jirani yake. Vijana wa hovyo sio kila story ina mnyanduano
Sema kweli RutaShunie wanipa raha [emoji8]
Anafanya nishindwe kulala aloneMimi nimeanza na kuogopa 😂😂😂
Sio tatizo la humu JF, ni tatizo la nchi, wajinga wameongezeka.
Natamani kungekua na audio...
KAMA STORY HUIPENDI,HAINA UHALISIA,HUJAIELEWA....simple fanya ishu zingine...
Nini jamani mbona mnatakaaandike mnavyovifikiria ...mlilia nae?
Huyo mke wake amtaje ili iweje...na akishamtaja mtapata nini?
Kama ni uongo iache...nini mnajaza koment kama 100 kutaka aadithie mnavyotaka nyie..
Mbona watu wengine hamjui kuachana na vitu.
Si unaacha tu unasoma mambo mengine..
Msitume mikoment yenu ya ujinga kila saa mnakeraaa
TULIENI WOOTE MSOME STORI MSIJAZE MIKOMENT
😂😂Anafanya nishindwe kulala alone
Kwanza kila BIG nayekutana nae namuwazia atakuwa huyu huyu wa goba.
Hivi hujanote hata kwenye text za kawaida watu huandika hivyo? Kiswahili muda mwingine changamoto au waandishi ndio changamotombka (mpaka) sasa liwe la kiswahili tu
Sio Wasaga sumu tu ni wanga hawa [emoji1787][emoji1787]Mkuu tuendelee achana na hawa wasaga sumu.
Mdau moja kasema wajinga wameongezeka hao wote wanaohoji makitu yasio na mantiki ni zao la ujinga. Tuishi nao hivyo hivyo hakuna namnaNatamani kungekua na audio...
KAMA STORY HUIPENDI,HAINA UHALISIA,HUJAIELEWA....simple fanya ishu zingine...
Nini jamani mbona mnatakaaandike mnavyovifikiria ...mlilia nae?
Huyo mke wake amtaje ili iweje...na akishamtaja mtapata nini?
Kama ni uongo iache...nini mnajaza koment kama 100 kutaka aadithie mnavyotaka nyie..
Mbona watu wengine hamjui kuachana na vitu.
Si unaacha tu unasoma mambo mengine..
Msitume mikoment yenu ya ujinga kila saa mnakeraaa
TULIENI WOOTE MSOME STORI MSIJAZE MIKOMENT