Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Kuna watu wapuuzi humu umughaka umughaka umughaka utadhani yeye pekee ndo msimuliaji JF nzima. Story zake nilishazifatilia napo wajinga walikua wanamsimanga,kumkosoa,kumtukana ila nadhan wengi humu wanataman mleta mada aongelee ngono zaidi kuliko masuala ya jirani yake. Vijana wa hovyo sio kila story ina mnyanduano
story za ooh mara nikampapasa mbususu zinanichefua sana..naachaga kusoma kabisa
Hta movie ukitaka nisiangalie nione ila Sex scene ndani yake nachefukwa sana.
 
Kuna watu wapuuzi humu umughaka umughaka umughaka utadhani yeye pekee ndo msimuliaji JF nzima. Story zake nilishazifatilia napo wajinga walikua wanamsimanga,kumkosoa,kumtukana ila nadhan wengi humu wanataman mleta mada aongelee ngono zaidi kuliko masuala ya jirani yake. Vijana wa hovyo sio kila story ina mnyanduano
Eti jamani sauti inatosha ukooo au tuwaongezeee
 
Natamani kungekua na audio...
KAMA STORY HUIPENDI,HAINA UHALISIA,HUJAIELEWA....simple fanya ishu zingine...
Nini jamani mbona mnatakaaandike mnavyovifikiria ...mlilia nae?
Huyo mke wake amtaje ili iweje...na akishamtaja mtapata nini?
Kama ni uongo iache...nini mnajaza koment kama 100 kutaka aadithie mnavyotaka nyie..

Mbona watu wengine hamjui kuachana na vitu.
Si unaacha tu unasoma mambo mengine..
Msitume mikoment yenu ya ujinga kila saa mnakeraaa
TULIENI WOOTE MSOME STORI MSIJAZE MIKOMENT
 
Wajuaji wengi sana, watu wa aina ile ndio akili za bongo movie,scene zinaonesha mtu anafua, anaanika mpaka nguo inakauka na kupigwa pasi….
 
Mkuu unajua kuipangilia story[emoji123]endelea achana wenye majungu
 
Hii issue inatolewa bure,hakuna hata mmoja anae mlipa ndugu muandishi/waandishi ambao wanatuletea hizi hadithi,hakuna kazi isiyokuwa na mapungufu,ndio maana kwenye somo la FASIHI{LITERATURE} kuna kipengele cha KUFAULU KWA MUANDISHI na KUFELI KWA MUANDISHI,Na usije ukahisi muandishi labda kasahau kuwataja wahusika wengine,hapana me nahisi hilo analijua lakini si kila kitu aweke humu,rejea KICHWA CHA HABARI cha hadithi yetu,piw kaweka hivyo ili nasi tuchekeche vichwa vyetu vinavyo shindwa kufikiria ambavyo vipo kama maboksi,tuwe watu wa KUSHUKURU hii jamaa kafanya ili kuchangamsha JUKWAA tu hatujamtumia hata Tsh 100 yetu basi tuwe wapole.

Pia najua muandishi maneno yetu yanayo kosa staha wala hayamvunji bali ni kuzidi kutuhakikishia kutuletea VISA zaidi na zaidi na pia anaweza pia hao watu asiwaweke ili wenye vidole vya kutype yasiyo kuwa na maana vituwashe zaidi na zaidi.

Ubarikiwe muandishi ni mimi Mwanafasihi Chillo Clan Conscious.
[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Natamani kungekua na audio...
KAMA STORY HUIPENDI,HAINA UHALISIA,HUJAIELEWA....simple fanya ishu zingine...
Nini jamani mbona mnatakaaandike mnavyovifikiria ...mlilia nae?
Huyo mke wake amtaje ili iweje...na akishamtaja mtapata nini?
Kama ni uongo iache...nini mnajaza koment kama 100 kutaka aadithie mnavyotaka nyie..

Mbona watu wengine hamjui kuachana na vitu.
Si unaacha tu unasoma mambo mengine..
Msitume mikoment yenu ya ujinga kila saa mnakeraaa
TULIENI WOOTE MSOME STORI MSIJAZE MIKOMENT
Mdau moja kasema wajinga wameongezeka hao wote wanaohoji makitu yasio na mantiki ni zao la ujinga. Tuishi nao hivyo hivyo hakuna namna
 
Back
Top Bottom