Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Msome Ally Mbetu kwenye kitabu Kaburi la wanaume ndani ya maktaba app.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Install na kuanza kusoma. Kama JF ilivyo bure KABISA.Hii bure KABISA manaake nini?
John Fedha alikuwa wa pekee sana.John Fedha mwenye mguu mmoja lakini hatari sana!
OkInstall na kuanza kusoma. Kama JF ilivyo bure KABISA.
Movie yake ( black sails) ndio imenikosha sana aseee.Kisiwa chenye Hazina. Hadithi hii ya The Treasure Island unaweza isoma bure ndani ya Maktaba app by pictuss. Install kutoka playstore na ujisomee.
View attachment 1842693
Sijawahi icheni. Nimewahi cheki animated adaptation yake. The treasure planet. Ntaitafuta hiyo Black sails.Movie yake ( black sails) ndio imenikosha sana aseee.
Black sails bro...Sijawahi icheni. Nimewahi cheki animated adaptation yake. The treasure planet. Ntaitafuta hiyo Black sails.
Inasumbuaje kwenye simu mkuu?
Kweli kusoma kwenye simu inasumbua,haipo kwenye page ,kwamba utafungua page kwa page,lakini ili upate story vizuri itakubidi uwe unaigeuza geuza simu ili uweze kusoma sentensi zote..Inasumbuaje kwenye simu mkuu?