Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Mi mbona kwangu havifunguki!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa feedback mkuu. tunajitahidi kuongeza vitabu kadri tuwezavyo. kila mwezi tunaweka. mfano kabla mwezi huu haujaisha tunategemea kuweka vitabu viwili. Tunaufanyia kazi usahuri wako.Mkuu hongera sana, kwa kweli ni wazo zuri sana, nimepakua app na ku download baadhi ya vitabu, ni app nzuri na vitabu vinapatikana kwa kb chache, ombi langu ongezeni vitabu hata vile vya Europe na Amerika huwa ni vizuri sana isipokuwa mvitafsiri kwa kiswahili ili kuleta maana ya app hii, pia ningeomba muongeze kitabu cha Wagagagigikoko kile cha Abunuwasi na Lizabeta.
Very useful app indeed, shukran sana mkuu [emoji120]
mkuu kusoma unascroll kwenda kulia.Mi mbona kwangu havifunguki!?View attachment 1893160View attachment 1893161
Inaitwa maktaba. Post no 16 kuna mdau kaweka link ya playstore.sasa hiyo app inaitwaje mku
Pia kuhusu page unakuta mtu ukisoma let say mpk page ya 20 zen ukapata dharura ukitoka kwenye app baadaye ukirudi inakubidi uanze upya kutafuta page yako yani app haitunzi kumbukumbu, nashauri kuwe na page number pia kuwe na search button una click zen unaandika number uliyoishia kama app bado hamjaifanya iwe inatunza kumbukumbu. Lkn yote kwa yote ni wazo zuri sana la kuanzisha hii app, hope itafanya vzr sn huko mbele, pia tuzidi kuitangaza na pia kwa ushauri muweke vimaneno kule play store mtu akivutika aweze kuchangia mkuu, kila la heri.Shukrani kwa feedback mkuu. tunajitahidi kuongeza vitabu kadri tuwezavyo. kila mwezi tunaweka. mfano kabla mwezi huu haujaisha tunategemea kuweka vitabu viwili. Tunaufanyia kazi usahuri wako.
Hili ni tatizo tumeliona hata sisi. Na tumeanza kulifanyia kazi. Kukurudisha ulipokuwa mara ya mwisho na kuweka bar ya kuscroll pale chini, kama zilivyo epub readerzingine. Kwa sasa, kama ulivuka sura, unaweza kwenda sura uliyokuwapo kwa kuclick sura hiyo kwenye yaliyomo. Inarahisisha kidogo.Pia kuhusu page unakuta mtu ukisoma let say mpk page ya 20 zen ukapata dharura ukitoka kwenye app baadaye ukirudi inakubidi uanze upya kutafuta page yako yani app haitunzi kumbukumbu, nashauri kuwe na page number pia kuwe na search button una click zen unaandika number uliyoishia kama app bado hamjaifanya iwe inatunza kumbukumbu. Lkn yote kwa yote ni wazo zuri sana la kuanzisha hii app, hope itafanya vzr sn huko mbele, pia tuzidi kuitangaza na pia kwa ushauri muweke vimaneno kule play store mtu akivutika aweze kuchangia mkuu, kila la heri.
Yah hiyo ya sura ndio naitumia kwa ss, but all in all it's one of the best apps that I have installed this year, big up[emoji109]Hili ni tatizo tumeliona hata sisi. Na tumeanza kulifanyia kazi. Kukurudisha ulipokuwa mara ya mwisho na kuweka bar ya kuscroll pale chini, kama zilivyo epub readerzingine. Kwa sasa, kama ulivuka sura, unaweza kwenda sura uliyokuwapo kwa kuclick sura hiyo kwenye yaliyomo. Inarahisisha kidogo.
Yaliyomo ni links za kwenda kwenye sura husika.
Tutaliangalia hilo mkuu. Hicho Alfu Lela Ulela tafsiri ya E. W. Brenn tunaitafuta sana. Na marekebisho ni mengi, typing errors nk.Mchanganyo wa vitabu uko poa kabisa,ila napata mashaka kwa Hawa publishers wa siku hz,wanaedit story mpk inakosa maana...,mf kitabu Cha safari 7 za sindbad kimechakachuliwa mpk kimekosa ladha, naomba utafute machapisho ya zamani ambayo story zake zimekamilika,hii uliyotuwekea huku inamakosa mengi mpk Imepoteza maana...
Lakini pia Kuna vitabu vina story zinazoishia njiani,yaani story haijakamilika mfano kwenye kitabu Cha nchi ya wasioona naomba ukipitie Tena ..
Asante Ni hayo tu ila kudos kwa kitabu Cha "the richest man in the Babylon" bonge moja ya kitabu,nasoma na kurudia tena
Big up man!
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mmekiingiza this month hiki?jisomee bure kitabu Robinson Kruso na kisiwa chake ndani ya maktaba app. Pitia post no 16 kuna link ya playstore. hadithi hii iliandikwa mwaka 1719 na muandishi muingereza, Daniel Defoe. Miaka ya 60 ikatafsiriwa na kuchapwa kwa kiswahili. ni hadithi nzuri kwa kusoma au kumsomea mwanao.View attachment 1903811
Yap mkuu. kuna kingine tutaweka wiki hii inakuja.Ndiyo mmekiingiza this month hiki?
Shukran nimeki download tayari na naona ni kizuri, kinaitwa Nalutesha nimeanza kukisoma mwanzo umekuwa mtamu nahisi itakuwa hadithi nzuri sana, alafu kuna some improvement ya app nimeona mkuu, hongereni kwa kuendelea kuifanya app inakuwa bora naamini itakuwa bora zaidi kadri siku zinavyozidi kwenda.Yap mkuu. kuna kingine tutaweka wiki hii inakuja.