Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia post no 16
Mkuu shukran sana kwa kutuwekea kitabu hiki, nilikisoma zamani sn nikiwa darasa la kwanza nikakitafuta bila mafanikio leo hatimaye nimekipata, nimeshakipakua natafuta muda nianze kukisoma.Jisomee bure hadithi ya safari ya Bulicheka na mkewe Lizabeta katika nchi ya Wagagagigikoko ndani ya maktaba app(by pictuss). Pitia post no 16 kuona link ya playstore au unaweza isearch playstore.
View attachment 1941194
Uweke option iwe sio lazima mpaka udownload...mtu awe na option ya kusoma bila kudownload!Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP.
Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app inapatikana katika post no 16.
View attachment 1842690
Vitabu vilivyopo mpaka sasa.
1. Hekaya za Abunuwasi na hadithi zingine
2. Machimbo ya mfalme Sulemani
3. Hadithi ya Allan Quatermain
4. Kisiwa chenye hazina
5. Alibaba na wezi arobaini
6. Alladini na taa ya ajabu
7. Safari saba za Sinbad
8. Tajiri wa Babeli: Tafsiri ya kitabu The richest man in Babylon chake George Cleason
9. Sanaa ya vita: Tafsiri ya kitabu The art of war cha Sun Tzu
10. Kiongozi: Tafsiri ya kitabu The Prince cha Niccolo Machiavelli
11. Nalutuesha: Cha Pete McGregor
12. Jasiri katika Africa: Chake J. C. Chande
13. Kusadikika: Cha Shaaban Robert
14. Kufikirika: Cha Shaaban Robert
15. Adili na nduguze: Cha shaaban Robert
16. Vazi jipya la mfalme: Tafsiri ya kitabu Emperor's new clothes
17. Wasifu wa Siti binti Saad cha Shaaban Robert
18. Ifahamu pombe
19. Mtu aliyepanda miti: Tafsiri ya kitabu cha Jean Giono, kilichotafsiriwa na Mara Consult
20. Kaburi la wanaume: Ally Mbetu
21. Sura ya mtu roho ya shetani: Ally Mbetu
22. Shamba la wanyama: Tafsiri ya kitabu The animal farm
23. Nchi ya wasioona: Tafsiri ya kitabu The country of the blind
24. Someni kwa furaha, kitabu cha Tatu, cha muandishi Alfonso Loogman.
25.Robinson Kruso na kisiwa chake, Tafsiri ya kitabu Robinson Crusoe chake Daniel Defoe.
26. Maisha yangu na baada ya miaka hamsini, chake Shaaban Robert.
27. Simba wa Tsavo, chake JH Pattterson.
28. Nyayo za mwendo wa binadamu, kimeandikwa na C. S. S Higham.
29. Someni kwa furaha, kitabu cha kwanza, by Alfonso Loogman.
30. Safari ya Bulicheka na Mke wake, Alfonso Loogman.
Ikiwa hivyo itashindikana kusoma ukiwa offline.Uweke option iwe sio lazima mpaka udownload...mtu awe na option ya kusoma bila kudownload!
Tuwekee link ya hii app yakoIkiwa hivyo itashindikana kusoma ukiwa offline.
Saa hizi app imerudi playstore. Link ingia post number 16.Tuwekee link ya hii app yako
Saa hizi app imerudi playstore. Link ingia post number 16.
Poa mkuu, tutajitahidi kufanya hivyo.