SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

Unaweza kusoma bure kitabu cha nne cha alfu lela ulela na vingine vingi ndani ya maktaba app. Ingia playstore usearch maktaba by pictuss, au pita post namba 16 kuna link.

New Doc 2022-01-11 064029(2)_46.jpg
 
Jisomee au msomee mwanao bure kitabu cha tatu cha alfu lela ulela, na vingine vingi ndani ya maktaba app. Ingia playstore na search maktaba app(by pictuss). Au pita post no 16 kuna link.

2010143000077.jpg
 
Naomba kufahamu kwann app inaomba access ya phone call na gallery? Nilipoona hivi nikasitisha mara moja kuifungua
 
Naomba kufahamu kwann app inaomba access ya phone call na gallery? Nilipoona hivi nikasitisha mara moja kuifungua
kifupi inakuwa inaomba access ya storage ya simu yako. Maana ukidownload vitabu vinatunzwa kwenye simu yako, hili linakuwezesha kusoma hata offline. Hakuna uhuni, app ikiwa playstore inakuwa na usalama mkubwa. Pamoja na hayo tunaangalia namna ya kuliweka sawa maana linawaogopesha wengi.
 
Hadithi za Esopo. Huu ni mkusanyiko wa hadithi za kiyunani ambazo zinatumika kutoa mafunzo mbalimbali, hasa kwa watoto. Zilitafsiriwa kwa kiswahili mwaka 1882 na bwana Edward Steere.
Ndani ya maktaba app tumekiweka kama kilivyochapwa miaka hiyo. Ingia playstore na install maktaba app. Au pita post no 16 kuna link.

IMG_20220305_090639_850.jpg
 
Kakitabu haka ni hotuba kuhusu elimu iliyotolewa na Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania , J. K. Nyerere mwaka 1967. Baadaye ikachapwa kuwa kitabu. Sasa unaweza kisoma bure ndani ya maktaba app, ingia playstore na search maktaba (by pictuss), au pitia post namber 16 kuna link ya playstore

coverrrrr.png
 
Umesoma hiki kitabu ndani ya maktaba app? Kitabu bora sana. Install maktabaapp ukisome.

IMG_20210627_131800_029.jpg
IMG_20210627_131800_029.jpg
 
Jisomee au msomee mwanao bure kitabu cha Elisi katika nchi ya ajabu ndani ya Maktaba app. Link ya plasytore kwenye post no 16. Kitabu hiki kiliandikwa kwa mara ya kwanza mwaka 1865 na Lewis Caroll. Kimetafsiriwa katika lugha 174. Kilitafsiriwa kwa kiswahili kwa mara ya kwanza mwaka 1940. Tumetumia tafsiri ya mwaka 1940 na kitabu cha 1865 kukiandaa.

Ni jamii ya riwaya zisizo na mantiki(nonsense), hivyo usijihangaishe sana kukielewa😊. Pia kiliandikwa hasa kwaajili ya wasomaji wa lugha ya kiingereza, hivyo kuna vitu haviwezi kutafsirika na vikaleta maana. Ni kitabu kizuri kusoma. Na ni moja ya vitabu vilivyotafsiriwa sana duniani. Kikiwa kimetafsiriwa katika lugha 174.

Hivi kuna muandishi wa kiswahili amewahi kuandika riwaya jamii hii ya nonsense?
IMG_20220317_011024_614.jpg
 
Hardcopy ya kitabu Tajiri wa Bebeli sasa inapatikana. Bei ni 15,000 Tsh. Kutuma popote Tz ni 3,000. Nicheki Pm kama utahitaji.

Lakini bado utaweza kukisoma bure ndani ya maktaba app. Ipakue playstore au pita post no 16 kuna link ya playstore. Na kuna copy iliyoeditiwa vizuri. Kama ulipakua ya zamani ifute na download mpya.
IMG-20220328-WA0029.jpg
IMG-20220328-WA0029.jpg
IMG-20220328-WA0023.jpg


IMG-20220328-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom