Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #101
kifupi inakuwa inaomba access ya storage ya simu yako. Maana ukidownload vitabu vinatunzwa kwenye simu yako, hili linakuwezesha kusoma hata offline. Hakuna uhuni, app ikiwa playstore inakuwa na usalama mkubwa. Pamoja na hayo tunaangalia namna ya kuliweka sawa maana linawaogopesha wengi.Naomba kufahamu kwann app inaomba access ya phone call na gallery? Nilipoona hivi nikasitisha mara moja kuifungua
Tutajitahidi,upatikanaji ndiyo shida tunampango wa kuweka THINK AND GROW RICH mwaka huu.Ongezeni vitabu basi hasa kwenye economy naona kuna kitabu kimoja tu "The richest man in Babylon"
Itakuwa safi sanaTutajitahidi,upatikanaji ndiyo shida tunampango wa kuweka THINK AND GROW RICH mwaka huu.
Ngoja tukue kue kwanza mkuu, tutafika na kwenu.Iphone users mmetutenga wakuu
App tuliitoa playstore. Saahizi nakutumia kwa whatsapp unainstall na kulipia ada ya 7000 kwa mwaka. Vitabu pia vimeongezeka. Viko zaidi ya 50.Mliiondoa app ama mlibadili jina?