Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP.
Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app inapatikana katika post no 16.
Vitabu vilivyopo mpaka sasa.
1. Hekaya za Abunuwasi na hadithi zingine
2. Machimbo ya mfalme Sulemani
3. Hadithi ya Allan Quatermain
4. Kisiwa chenye hazina
5. Alibaba na wezi arobaini
6. Alladini na taa ya ajabu
7. Safari saba za Sinbad
8. Tajiri wa Babeli: Tafsiri ya kitabu The richest man in Babylon chake George Cleason
9. Sanaa ya vita: Tafsiri ya kitabu The art of war cha Sun Tzu
10. Kiongozi: Tafsiri ya kitabu The Prince cha Niccolo Machiavelli
11. Nalutuesha: Cha Pete McGregor
12. Jasiri katika Africa: Chake J. C. Chande
13. Kusadikika: Cha Shaaban Robert
14. Kufikirika: Cha Shaaban Robert
15. Adili na nduguze: Cha shaaban Robert
16. Vazi jipya la mfalme: Tafsiri ya kitabu Emperor's new clothes
17. Wasifu wa Siti binti Saad cha Shaaban Robert
18. Ifahamu pombe
19. Mtu aliyepanda miti: Tafsiri ya kitabu cha Jean Giono, kilichotafsiriwa na Mara Consult
20. Kaburi la wanaume: Ally Mbetu
21. Sura ya mtu roho ya shetani: Ally Mbetu
22. Shamba la wanyama: Tafsiri ya kitabu The animal farm
23. Nchi ya wasioona: Tafsiri ya kitabu The country of the blind
24. Someni kwa furaha, kitabu cha Tatu, cha muandishi Alfonso Loogman.
25.Robinson Kruso na kisiwa chake, Tafsiri ya kitabu Robinson Crusoe chake Daniel Defoe.
26. Maisha yangu na baada ya miaka hamsini, chake Shaaban Robert.
27. Simba wa Tsavo, chake JH Pattterson.
28. Nyayo za mwendo wa binadamu, kimeandikwa na C. S. S Higham.
29. Someni kwa furaha, kitabu cha kwanza, by Alfonso Loogman.
30. Safari ya Bulicheka na Mke wake, Alfonso Loogman.
31. Kisa cha sungura aliyeitwa Peter, kimeandikwa na Beatrix potter.
32. Lulu, Tafsiri ya kitabu The Pearl chake John Steinbeck.
33. Alfu lela ulela , kitabu cha pili
34. Alfu lela ulela, kitabu cha nne
35. Alfu lela ulela, kitabu cha tatu.
36. Hadithi za Esopo, E.Steere.
37.Elimu ya Kujitegemea, Julius Kambarage Nyerere.
38. Kinjeketile, Ebrahim N Hussein.
39. Elisi katika nchi ya ajabu, Lewis Caroll.