Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

Acha ku complicate mambo mkuu
 
Asiye na hizo tabia kwa sasa unapata mmoja kati ya elfu na ni kwa sababu siku hizi mtoto analelewa na familia husika tu.

Watoto wanalelewa kama mayai kiasi wakisemwa au kukanywa kidogo tu, wazazi wanakuja juu. Sasa nani atawaadhibu japo hata mimi hiii kitendo sikiafiki maana watoto wa siku hizi wana presha, kisukari na magonjwa mengine mengi. Unaweza kafinya shavu kakapata heart attack, mtu mzima ukafia jela
 
Watoto wa siku hzi kumtuma inabidi umlazimishe sana hata kama anakujua huyu ni anko Mnyunguli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…