Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Na kama amekuelewa akuelewe vyema, inahitajika busara kutambua maana ya hii comment. Imebeba mengi sanaTatizo sio nyie mtakao oana...tatizo lipo kwa dunia inayo wazunguka
Ndoa ni full ups and downs bro Kaza kiume songa mbeleNingerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
Daaaah, pole sana mkuu.Ningerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
🤣🤣🤣Ndo ishatokea mkuu...Ningerudishwa 5 years nyuma ili nisahihishe makosa kwenye maisha yangu basi hili la kuoa nisingejiingiza mkenge tena
Haya mawazo ya kutoa umuhimu na uzito mkubwa kwny kuoa au kuolewa sijui kabla ya miaka 30, ni...Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Dunia ilipo kwa Sasa ukiwa na furaha tu na maisha yako inatosha. Haya Mambo ya kuoa na kuolewa si lazima Sana. Tafuta furaha. Yaani umnunue mtu aje kukupa furaha? Happiness isn't guaranteed in marriage.! Tafuta watoto kwa idadi unayotaka huko nje then furahia maisha yako bila kero za mtu mwingine. Kwanini uwe committed kwa mke au mme? Faida Ni Nini hasa? Ukihitaji, unakwenda unatafuta mmoja mzuri unamaliza unarudi kwako maisha yanaendelea.Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Mkuu wewe umeongea vyema kabisa, sio wale huja na matusi kuwatusi waliofika 30 bila bila. Bandiko lako liko sawa, na umesema, jitahidi, maana yake uweke jitihada maka zitajibu iwe hivyo. Bandiko humble kabisaSio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Uko sahihi brother, Linda Uhuru wakoHuu ni ujinga, kataa ndoa, linda afya ya akili yako, linda mali zako....kataa ndoa kijana !