Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
- Thread starter
- #21
Vp chinaHaya mawazo ya kutoa umuhimu na uzito mkubwa kwny kuoa au kuolewa sijui kabla ya miaka 30, ni...
Mawazo ya zama za giza, mawazo ya kijinga na kipuuzi, yaliyo kwny jamii za watu wajinga.
Ni mawazo yaliyojaa ukengefu, upogo na upofu, wa jamii masikini hasa kutoka dunia ya tatu.
Ni mawazo finyu, yanayotokana na uelewa finyu wa dunia na maisha kiujumla.
Mawazo mufilisi kama haya huwezi kuyakuta kwny jamii zilizoendelea kifikra, Kama vile Ulaya, Korea na Japan.