The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Mkuu huu ujumbe unawahusu mafeminist ya jf au ni kwa wanawake watulivu wanaokubali nafasi yao kama wanamake eti, au pia haya madume jike humu jf manungaiyembe ya haki sawa yanahusika ?!Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.
Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.
kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.
Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.