Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

Jipige kifue useme mm ni kiazi mbatata a.k.a hasara ya wazazi
Kwa nini mkuu, hutaki nikae kwetu unataka nikae wapi?. Kama Sina mke au mtoto kunahaja yakupanga au nijenge nyumba nyingine nahuku Sina kazi, hizo pesa nazitoa wapi?. Ngoja niendelee kujitafuta labda nikifikisha miaka 50/60 naweza nikaenda kupanga.

Lamomy nakuomba nihifadhi jirani, sintopanga nyumba nyingine zaidi yahapo kwako.
 
Back
Top Bottom