Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

Unaitwa MPATAKUFA/MPATA KUVA.
Sio UTI tu. HATA Typhoid ila Kama Ni mgonjwa wa kisukari au presha Pima Kwanza
Malizia. Inapandisha au kushusha sukari na presha. Ukikamilisha sentensi yako itasaidia ambao wanajua status za magonjwa uliyotaja. Shukrani
 
Malizia. Inapandisha au kushusha sukari na presha. Ukikamilisha sentensi yako itasaidia ambao wanajua status za magonjwa uliyotaja. Shukrani
Ahsante mkuu kwa maelekekezo huu uvivu was kuandika ndo unasababisha kuandika Kama ninekimbizwa
 
Baada ya kugundua maajabu ya huu mmea nikaamua kuupanda kabisa.

View attachment 1730465
Huu mti unaitwa mpatakufa/mpata kuva/ oregano unatibu u.T.I, typhoid. Kwa wagonjwa wa kisukari na presha kuwa makini ktumia kwani hushusha sukari ghafla na kuipandisha presha ghafla yaani hufanya kiwango cha maradhi hayo kisiwe stable jambo ambalo ni hatari kwa wenye nayo.
 
Asante kwa angalizo mkuu, ila namshukuru Mungu nipo fit kabisa hayo mengine sina.
 
Zipo species mbalimbali

1. Wahaya- Kashwagara.

2. Wachaga na wameru - Ikingi.

3. Tanga.

4. Mbeya.

5. Sumbawanga.
 
Mpatakufa..
Ni bonge moja ya dawa km unasumbuliwa na mafua chuma jani litafune kisha weka puani kama unanusa katika tundu zote.

Ni chungu kiasi ila kwa mafua na kuumwa tumbo hii dawa ndio kiboko yake.
Dawa ya Corona
 
Baada ya kugundua maajabu ya huu mmea nikaamua kuupanda kabisa.

View attachment 1730465
Asante kwa angalizo mkuu, ila namshukuru Mungu nipo fit kabisa hayo mengine sina.
Oregano hata mimi huwa nachemsha mara kwa mara na kunywa kama chai na kijiko kimoja cha asali. Huwa inaclear sinus na kufungua kifua vizuri sana.

Lakini naona huo uliopandwa hapo ni tofauti kidogo na huu ninaonunuaga. Huo inaonekana majani yake ni makubwa kidogo. Asanteni kwa maarifa haya.

 
Huo wa super market hauna afya tuu lakini ndo huo oregano mkuu,na ukipandwa sehemu yenye rutuba majani yake huwa mapana ZAIDI.
 
ni hii?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…