Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Hivi hakuna Mtu yoyote aliyejaribu kulalia huo Ubani na Mkaa?
 
Maelezo hayajakamilika,uulaliaje ?halafu na siku alhamisi ndio siku maalumu au nilalie siku zote.
 
Haya mambo haya,kuna mtu alinishauri ili kuwaona wachawi nichukue majani ya mbaazi na kipande cha mti wake nivifunge pamoja na kipande cha mkaa halaf niweke chini ya mto.......sitorudia tena ule ujinga,wachawi sio wazungu mzee,wanatisha sana!!
Ilikuaje?? Uliwaona???
 
Hujasema kama mkaa na ubani vinacjanganywa au vipi
 
Mkuu je haitafikisha taarifa kwa aliekuroga kuwa umemjua nasikia ni hatari akijua, nipe ufafanuzi hapo
 
Nimesubscribe kwa ajili ya mirejesho ijumaaa

Mletee mirejesho wanduguuuu
 
Lazima uwe nyumbani kwako?

Ukiwa Lodge, hotelini, nk inagoma?

JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…