Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Mkuu, umeni quote alafu umefuta kwanini 😁
Unamaanisha yule mama wa kihaya ana ego ?
Mbona watu wametabiri kua atakuja kua PM.
She is overqualified for now .

Ni Kama unavyomuona MTU Kama Messi umlazimishe kumsajili katika timu yako na ukimaliza uanze kumpa masharti magumu ili tu wewe uonekane wakati messi ana Kila aina ya kombe na ana kila aina ya mafanikio katika Mpira

The same kwa huyo Muhaya unamtoa USA ili umpe ubunge na uwaziri na Kama ilivyo utamaduni wetu ukiwa Mbunge unabidi kuwa MTU wa kusifu sifu nyeusi unaita nyeupe n.k

Unashindwa kuangalia background ya huyo MTU .

So Kama kuna cheo cha kiasiasa kinamfaa huyo mama ni Urais na sio kuwa PM n.k kwakuwa siasa za kinafiki haziwezi na ajakulia huko.
 
Akishasema hivyo ujue Kuna mtu kapigwa chini,,kwenye kupiga chini huwa hauchelewi ukienda kinyume
 
Akishasema hivyo ujue Kuna mtu kapigwa chini,,kwenye kupiga chini huwa hauchelewi ukienda kinyume
Anaonekana analalamika tu.

Kulalamika kwa mipasho si sifa ya kiongozi shupavu.

Kiongozi shupavu anakutajia jina huyu kaharibu hapa, tumempiga chini kwa sababu hii, zaidi, tunamshitaki mahakamani.

Sasa huyu Mama anatiwa vidole na wateule wake mwenyewe halafu analialia tu bila hata kutaja jina kama anawaogooa vile.

It's a very weak look.
 
Kuna tabia moja ya watu walio kaa ama kusoma marekani ama kuishi kwanza kwenye kujali muda pili huwa wapo rational na logical Sana.

Mfano mtu akitaka kukusema au kukuongelea lazima akuombe ruhusa kua naomba NIKUZUNGUMZE tabia za kusifia, ulaghai, utapeli, kupaka mawe siku ya ziara za mwenge kudanganywa na kudanganya kwa
 
Hafai kabisa ,cha ajabu chawa bado wanampambania ,miropoko imekuwa ndio hatuba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…