Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
Iwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.
Huu ndio upuuzi mwengine CDM majuzi tu hapa kulikuwa na thread wamefungua kanda ya ZnZ, hapo hapo kiongozi wao amenukuliwa mara nyingi akiponda wabunge wa ZnZ na muungano halikadhalika wao wanao wabunge wa viti maalumu kutoka huko huko (akiitwa kilaza aisye na ufahamu mnapinga).
Wewe huwezi ukawa na principles zako kichama halafu ukawa na kigeugeu kwenye maslahi ya kura ndio ujitie katikati, umeona wapi vyama vya siasa ambavyo havina msimamo. CDM na CUF hawana wanalolijua zaidi ya kusaka kura wao hata gongo kuhalalisha wapo tayari ilimradi kura, looser hapa ni CCM kwa kuburuzwa poor JK (what useless man) na huyu babu Mzee Warioba akapimwe akili kwanza maana umri umeenda mapendekezo ya kijinga kabisa.

Ina maana tunatakiwa kukaa mkao wa kuandika katiba ya TANGANYIKA.
Tunataka serikali moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iingizwe kwenye serikali ya Muungano na kutulia.
Ina maana tunatakiwa kukaa mkao wa kuandika katiba ya TANGANYIKA.
Endelea kuelimisha hawa wenzetu wa MIZIGO,hatimaye fahamu zitawarudia wataelewa.Msipaniki hyo ni % ya waliotoa yao sasa unaniletea idadi mpaka ya watoto kwa nn unajitoa ufahamu leo?
Mliambiwa mkatoe maoni hamkwenda.
Hivi ukiambiwa Kikwete alipita kwa 61% unaelewa nn
Mara mia kuliko upuuzi huu, wa kushindwa kutetea hoja hata kwenye mapendekezo mwenzao kafanya juu chini kuuweka huu muungano mpaka ulipofikia wao wanataka anzisha nyufa kwa kusukumwa kidogo tu.Kama una hasira na wewe tengeneza RASIMU ya kwako na mke wako,nyambafu!
Kwani tatizo rasimu au mapendekezo, kesho ukiona hakuna lolote la maana kwenye mapendekezo ya checks si tunarudi palepale au wewe unaona maswala ya muungano tu, watu wengine bwana.Walewale.
Natamani niwafanyie sherehe hawa watu Kikwete Warioba Tundu lisu jukwaa la katiba na wote waliosimama kidete kuitetea rasimu ya katiba.
RIP Sengondo Mvungi.
Daah! kazi kweli kweli. Hivi umewahi kufanya utafiti (research) wewe? Kama ndiyo,ni aina ipi ya utafiti ambayo kwa akili yako hujumuisha watu wote katika eneo la utafiti? Mara zote majumuisho(conclusion) ya utafiti hufanywa kutokana na ile idadi ndogo ya watu (sample) au sampuli iliyopitiwa na huo utafiti. Na hivi ndivyo ilivyokuwa katika hili zoezi la ukusanyaji wa maoni ya rasimu ya katiba mpya. Siyo watanzania wote tuliopata fursa ya kutoa maoni hayo hivyo hiyo % iliyotajwa ni ya wale waliotoa maoni yao katika tume kwa njia mbalimbali. Ni bora siku nyingine uwe msomaji badala ya kuchangia vitu ambavyo kimsingi vinakudhalilisha wewe mwenyewe.Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!
Hongereeeeeeni sssssssem kwa wimbo huoo lkn kuwen makiniIwe Serikali 3 au Serikali 2 CCM itaendelea kukamata dola.
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.