Huu ndio upuuzi mwengine CDM majuzi tu hapa kulikuwa na thread wamefungua kanda ya ZnZ, hapo hapo kiongozi wao amenukuliwa mara nyingi akiponda wabunge wa ZnZ na muungano halikadhalika wao wanao wabunge wa viti maalumu kutoka huko huko (akiitwa kilaza aisye na ufahamu mnapinga).
Wewe huwezi ukawa na principles zako kichama halafu ukawa na kigeugeu kwenye maslahi ya kura ndio ujitie katikati, umeona wapi vyama vya siasa ambavyo havina msimamo. CDM na CUF hawana wanalolijua zaidi ya kusaka kura wao hata gongo kuhalalisha wapo tayari ilimradi kura, looser hapa ni CCM kwa kuburuzwa poor JK (what useless man) na huyu babu Mzee Warioba akapimwe akili kwanza maana umri umeenda mapendekezo ya kijinga kabisa.