Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Si waliambiwa wataitwa Tena au hukuelewa tangazo la kurudishwa kwao nyumbaniMmegundua hatari ya kuwaacha mitaani.
Kiberiti kimejaa; jeshi ni taasisi imara na makini sana kuliko zote katika nchi, wasiitikise; wafuate taratibu za kijeshi.Sawa ngoja tukaripoti
OkSawa ngoja tukaripoti
Umeeelewa au haujaelewa. Alafu ukiona huelew ujue haikuhusuWe jamaa thread zako aisee daah
Hapana . Wale walio ripoti makambini baaadae wakasitishawale waliogoma au
Wameambiwa wakaripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali
Ila ila
Std 7 na form 4 tu
WENYE ELIMU ZAIDI YA HAPO WASUBILI MAELEKEZO MENGINE
Tarehe 7-14 may kuripoti
Aiseee habari yako umeiweka ki-shallow sana kiongozi ...!
Waliorejeshwa sio waliokuwa wanajenga Ikulu.
siyo wale waliogoma kwa taarifa na naomba uipokeeWameambiwa wakaripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali
Ila ila
Std 7 na form 4 tu
WENYE ELIMU ZAIDI YA HAPO WASUBILI MAELEKEZO MENGINE
Tarehe 7-14 may kuripoti