Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Watakiwa kuripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali. ELIMU YA STD7 NA FORM 4 TU.
Kuanzia tarehe 7- 14 may
Aidha wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea na wale wataalam kama wahandisi WATASUBIRI MAELEKEZO
Kuanzia tarehe 7- 14 may
Aidha wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea na wale wataalam kama wahandisi WATASUBIRI MAELEKEZO