JKT waliorudishwa nyumbani watakiwa makambini

JKT waliorudishwa nyumbani watakiwa makambini

Watakiwa kuripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali. ELIMU YA STD7 NA FORM 4 TU.
Kuanzia tarehe 7- 14 may
Aidha wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea na wale wataalam kama wahandisi WATASUBIRI MAELEKEZO
 
Ingekua mtu akienda kozi ya lazima au ya kujitolea jeshini anakua mwizi basi China, Korea Kaskazini na Korea Kusini zingeongoza kwa kua na wezi wengi.

Wao kuna umri ukifika ni unaenda hata ukirusha kuna siku lazima utaenda tu na hiyo ni kwa wote labda uwe mgonjwa au kuna kinachozuia.
 
Wameambiwa wakaripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali
Ila ila
Std 7 na form 4 tu
WENYE ELIMU ZAIDI YA HAPO WASUBILI MAELEKEZO MENGINE
Tarehe 7-14 may kuripoti
 
Wameambiwa wakaripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali
Ila ila
Std 7 na form 4 tu
WENYE ELIMU ZAIDI YA HAPO WASUBILI MAELEKEZO MENGINE
Tarehe 7-14 may kuripoti

Aiseee habari yako umeiweka ki-shallow sana kiongozi ...!
 
Aiseee habari yako umeiweka ki-shallow sana kiongozi ...!

Link hyo mkuu[emoji121]
 
Waliorejeshwa sio waliokuwa wanajenga Ikulu.
 
Wameambiwa wakaripoti kwenye makambi waliyo pangiwa awali
Ila ila
Std 7 na form 4 tu
WENYE ELIMU ZAIDI YA HAPO WASUBILI MAELEKEZO MENGINE
Tarehe 7-14 may kuripoti
siyo wale waliogoma kwa taarifa na naomba uipokee
 
Back
Top Bottom