JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Nisamehewe kwa hii komenti.
 
Kweli mkuu, nimekuelewa.Ila Kibongobongo hawataunda hiyo tume kwa kisingizio eti masuala ya Jeshi ni nyeti na siri.
 
Wadau wana JF nawasalimu kwa jina la muungano ..nawashangaa vijana kukimbilia JKT hadi kula mafunzo na makazi kibao ili hali wanajua hakuna ajira. Sasa wamegoma wameasi wamerudi mtaani wanaanza kuomba tuwasaidie.

Kama una mdogo wako mkanye JKT hakuna ajira ni bora akaenda veta ufundi stadi atafanikiwa, miaka 3 veta unakuwa fundi haswa
 
Ni kweli kabisa, mwendazake aliharibu mifumo na taratibu katika taasisi mbalimbali

Kila kitu alikifanya Kama sehemu ya kujipatia sifa na kufanya political propaganda

Na alifanya hivyo kwasababu alijua kabisa hakuna wa kumshauri vingine
 
sasa mzee mwendazake anaingiaje hapo wakati alishatoa maelekezo kwa CDF? vijana waajiriwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…