JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

Kwa mtazamo wng Polisi wako juu ya JKU maana Jku anaishia zenj wkt polisi anafanya kz popote....JKU ni kama mgambo wa city ambaye ajira yake na matumizi yake inaishia ndani ya halimashauri husika
Musijibu kwa hisia.
2013 nikwa Ruvu jkt kuna wakufuzi lukuki kutoka JKU walimwagwa pale . Walikuwa na sisi mpaka mwisho wa course.
Waliheshimiwa na kuwa na hadhi sawia na wanajeshi wengine wa huku bara.
 
Hata vita vya Kagera, jeshi la mgambo ndio walikuwa advance party wakiwekwa mstari wa mbele kuwa chambo!. Kwa heshima wanaheshimiwa sana tuu ila jeshi ni jeshi na mgambo ni mgambo!.
P
 
Hata vita vya Kagera, jeshi la mgambo ndio walikuwa advance party wakiwekwa mstari wa mbele kuwa chambo!. Kwa heshima wanaheshimiwa sana tuu ila jeshi ni jeshi na mgambo ni mgambo!.
P
Ngoja kwanza!
Labda mimi ndo Sijaelewa Hebu nipe tofauti ya JWTZ na JKU kwa sheria za kijeshi na hata kimafunzo na Ki-insignia na nipe utofauti wake na Mgambo..
 
Hata vita vya Kagera, jeshi la mgambo ndio walikuwa advance party wakiwekwa mstari wa mbele kuwa chambo!. Kwa heshima wanaheshimiwa sana tuu ila jeshi ni jeshi na mgambo ni mgambo!.
P
Yes. Watu wanawadharau JKU.
Kuna wengine niliwaona wako sharp kuliko hata hawa wa bara. Ndio jeshi moja na jingine hutofautiana kimedani lakini si sana. Majeshi yote duniani yana hadhi zinazolingana.
Kuna vijana wako jwtz hata gwaride hawajui. Wazee wa kudoji. Ujanjaujanja tu mpaka wanakuwa maafisa
 
JKU ni sawa na Jeshi la Magereza kwa Tanganyika.
 
Mnaongea bila kua na akili ya kuona ukweli uliopo nyuma ya hayo majeshi ....kitendo cha wazanzibar kuunda hayo majeshi kinatokana na chuki na ubinafsi iwe ni chuki ya haki au la au ubinafsi wa haki au la .....msingi wake ni chuki na ubinafsi kwenye kuchukia watanganyika hivyo wameunda majeshi na kuyaimarisha kwa sababu wanayo ajenda ya siri mioyoni mwao
 
Tanzania ina Tanganyika na Zanzibar, hiyo Bara iko wapi!?
 
Katika comment ya kipuuzi niliyoisoma Moja ni hii, kaisome Katina ya Zanzibar na Ya JMT inasema kuhusu idara maalum za SMZ. Then njo na rhetoric zako za kipuuzi. Au ndiyo hasira za mama kukuacha solemba baada ya kujaribu na kujifanya chawa. Kama yule msukuma mwenzaki hakukuona. Ujue wengine wameshavaa miwani ya Mbao
 
Ngoja kwanza!
Labda mimi ndo Sijaelewa Hebu nipe tofauti ya JWTZ na JKU kwa sheria za kijeshi na hata kimafunzo na Ki-insignia na nipe utofauti wake na Mgambo..
Tofauti ya jeshi na mgambo ni the official status, jeshi ni formal mgambo ni informal.
Kuna migambo wako vizuri kuliko majeshi yetu. Kulipozuka moto jengo la Nasaco, fire za jeshi letu la zimamoto zilishindwa kuzima, hawana vifaa vya kuzima moto ghorofani, fire za kikosi cha Bandari na ultimate security zikaokoa jahazi!.

Mradi wa Gesi wa BG group kule Lindi, tenda ya ulinzi imetotelewa kwa kampuni ya ulinzi kutoka SA, polisi wetu wameshindwa.

Tenda ya ulinzi wa meli indian Ocean dhidi ya maharamia wa Kisomali imeshikwa na wazungu kwasababu jeshi letu la navy halina uwezo!.
Hivyo kuna migambo ni wazuri kuliko wenyewe halisi!.
P
 
This is it. Actions speak louder than words. Endeleeni kuyaita majeshi ya migambo kujifurahisha.

Ni dhahir kabisa kuwa Zanzibar hawautambui wala kuutilia maanani muungano. Wamejiundia katiba na taasisi zinazowapa full autonomy nje ya Tanzania.

KMKM, JKU ni majina tu. Hayo ni majeshi kamili yenye hadhi nzito kule chini ya amiri jeshi mkuu wao.
 
Hata serikali ya wanafunzi pale UDSM kuna Rais, mawaziri N.K,

Hiyo haimfanyi ‘rais’ wa DARUSO kulinganishwa na Rais wa JMT.

JKU, KMKM N.K sio majeshi.
 
Majeshi yapo ki seniority yamepangwa ki hadhi kwenye katiba ya kwanza Jwtz ya pili Polisi ya tatu Magereza

Jku hana hadhi sawa na polisi , jku inatambulika huko zanzibar ila akivuka bara hata tambulika anawekwa kundi la mgambo, na hata huko zanzibar sidhani kama wameifikia hadhi ya jkt
 
Hili swala la Amirati CDF Mabeyo alishalitolea ufafanuzi pale Chato kwenye mazishi ya Jamaa yetu, hakuna Amirati ni Amiri.
 
Musijibu kwa hisia.
2013 nikwa Ruvu jkt kuna wakufuzi lukuki kutoka JKU walimwagwa pale . Walikuwa na sisi mpaka mwisho wa course.
Waliheshimiwa na kuwa na hadhi sawia na wanajeshi wengine wa huku bara.
Hizo ni siasa za CCM tu, Tanganyika kur anazopata mwenyekiti wa mtaa, anamzidi mbunge wa Zanzibar hata Kwa ukubwa wa eneo la kutawala na population.
 
Hizo ni siasa za CCM tu, Tanganyika kur anazopata mwenyekiti wa mtaa, anamzidi mbunge wa Zanzibar hata Kwa ukubwa wa eneo la kutawala na population.
Na hili zimwi hatulipendi wananchi wa bara wala visiwani lakini linalindwa na viongozi. Sijui waliambiwa watakufa wakilisaliti
 
Hv kwenye sherehe ya Muungano hivyo vikosi vya JKU na KMKM huwa vinashiriki kwenye gwaride kama majeshi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…