GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #101
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, majukumu ya JKU ni yapi?Kwa itifaki za kijeshi hawatumii neno 'hadhi' maana yote ni majeshi. Tofauti ni kwamba kuna majeshi ya ULINZI na majeshi ya USALAMA. Hapa nchi tuna Jeshi moja la Ulinzi, lakini limegawanyika katika kamandi kadhaa ambazo ni majeshi kamili; kama Anga, Maji, Nchi kavu na JKT. Ndiyo maana unaweza kuona kama JWTZ ni Jeshi moja, lakini Mkuu wake huitwa "Mkuu wa Majeshi. Majeshi ya Usalama ni Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uhifadhi. Kwa kule Zanzibar, jeshi la ulinzi ni hilihili moja; lakini kwa muundo wa Vikosi vya SMZ, wale KMKM kiutendaji ni sawa na Jeshi la Maji (Navy) na hao JKU ni sawa na JKT. Kwa hiyo ni wazi JKU na KMKM ni vikozi vya Ulinzi.
Cheo chake kanali mwishoSifa za mkuu wa JKU ni zipi?
ULinzi wa nchi na usalamaKwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, majukumu ya JKU ni yapi?
Ni luteni kanali sio kanali Mkuu!Cheo chake kanali mwisho
Soma Hii Hansard ya Bunge la zanzibar la mwaka 2013..Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, majukumu ya JKU ni yapi?
Kigezo cha jeshi usu na jeshi kweli sio ajira, jeshi la uhifadhi wameajiriwa na bado ni migambo tuu!. Naendelea kusisitiza, jeshi ni jeshi na mgambo ni mgambo!Unafurahisha Sana kwa majibu haya Mkuu!
NIlikuomba unijibu Kwa Kutumia combat officers Na insignia Utifautishe unakuja kitofautisha na biyu vya ajabu?
Unanijibu kwa ultimate security Really?
Msomi wa sheria?
Mgambo Sio jeshi na wala sio waajiriwa..
Ila JKU ni waajiriwa Unajua tifauti?
Mkuu Detective J, tofauti pekee ya jeshi na migambo ni usajili tuu, jeshi ni formal, mgambo ni informal, nimekutolea mfano wa mercenaries ni migambo, wako well trained kuliko jeshi la kawaida!, most ni ma commandos!. JKU wana training ya seals sisi navy wetu hatuna!. Meli za utafutaji gesi Lindi zinalindwa na migambo kutoka South Africa, kwasababu jeshi letu tumeshindwa!. Hivyo wako migambo wako well trained kuliko jeshi!, NB, ukisikia migambo, usidhanie ni hawa mgambo wa jiji!.Aint no such thing brother, tofauti imo sana. labda kama hujapita huko.
Eti mgambo better trained kuliko service member wakikusikia watakucheka sana kaka, sijawahi kuona hilo jambo kwa miaka niliyo tumikia taasisi hiyo. First you need to know mgambo wana receive light training version tofauti na full military training
Mkuu Lubengera , mimi ni product ya wana Idara hiyo kwa baba na mama, Cheo cha Amiri Jeshi Mkuu, ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Idara ya Usalama wa Taifa, ni jeshi la usalama na wana vyeo vya kijeshi kabisa tofauti ni moja tuu!, hawavai uniforms ili wasitambulike lakini ni wajeshi!.Pascal! hatuna Jeshi la Usalama wa Taifa.
Tuna Idara ya Usalama wa Taifa.
Mkuu Pascal Tangu mwanzo nakusikiliza na kukusoma Sioni Chochote unachokitoa,Kukiandila wala kuthibitisha kuwa Jeshi la JKU sio Formal..Mkuu Detective J, tofauti pekee ya jeshi na migambo ni usajili tuu, jeshi ni formal, mgambo ni informal, nimekutolea mfano wa mercenaries ni migambo, wako well trained kuliko jeshi la kawaida!, most ni ma commandos!. JKU wana training ya seals sisi navy wetu hatuna!. Meli za utafutaji gesi Lindi zinalindwa na migambo kutoka South Africa, kwasababu jeshi letu tumeshindwa!. Hivyo wako migambo wako well trained kuliko jeshi!, NB, ukisikia migambo, usidhanie ni hawa mgambo wa jiji!.
P
Hapa umejibu Vyema sana πππMkuu Lubengera , mimi ni product ya wana Idara hiyo kwa baba na mama, Cheo cha Amiri Jeshi Mkuu, ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Idara ya Usalama wa Taifa, ni jeshi la usalama na wana vyeo vya kijeshi kabisa tofauti ni moja tuu!, hawavai uniforms ili wasitambulike lakini ni wajeshi!.
Ukisikia neno dola ujue ni jeshi, polisi na usalama wa Taifa!. Ukisikia Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ujue usalama ndio hao TISS.
Kitu ambacho nakubaliana na wewe ni sio TISS wote ni trained kijeshi, wengine ni informes tuu hivyo wako recruited from ordinary people with no military training. Uwepo wa untrained TISS hakuifanyi TISS kutokuwa jeshi, kuitwa Idara ya Usalama ni jina tuu, hata Idara ya Wanyapori inaitwa Idara na ni jeshi la wanyamapori.
P
Mkuu andika migambo siyo mgambo ππ!.Ngoja kwanza!
Labda mimi ndo Sijaelewa Hebu nipe tofauti ya JWTZ na JKU kwa sheria za kijeshi na hata kimafunzo na Ki-insignia na nipe utofauti wake na Mgambo..
Migambo sio kiswahili Mkuu its Either Wanamgambo au MgamboMkuu andika migambo siyo mgambo ππ!.
Maadam Tanzania ni nchi moja ya JMT chini ya Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, na ulinzi ni issue ya muungano, majeshi rasmi ni yale tuu yanayotambulika rasmi chini ya command ya CinC, majeshi mengine yote chini ya mtu mwingine yeyote, ni majeshi usu, kwa fasiri rasmi ya jeshi. JKU, KMKM na vikosi vya SMZ sio jeshi, ni jeshi usu!, ni auxiliary na para military na militia!, wote hawa ni migambo tuu!.Mkuu Pascal Tangu mwanzo nakusikiliza na kukusoma Sioni Chochote unachokitoa,Kukiandila wala kuthibitisha kuwa Jeshi la JKU sio Formal..
Zaidi ya maneno yako tu kusema sio Formal..
Formality hailetwi na Maneno yako bali na sheria na katiba..
Ambavyo vyote vimethibitisha na kuiba nguvu ya Dola Idara hizo na Jeshi hilo..
Bhasi tuseme kweli kuwa Formality ya Zanzibar haihusiki Bara..
Na vipi kuhusu Jeshi la Magereza La bara Kutokuwepo Zanzibar?
Na kuwa chinu ya hizi Idara ambazo zimeanzishwa chini ya Katiba ya zanzibar?
Unafahamu kuwa hizo idara zina Nguvu ya Dola?
Kwani jeshi la magereza si lipo chini ya katiba ya Tanzania Ibara ya 147 sasa kwanini Zanzibar Likose nguvu na kutokuwepo.huko?
na Jiulize kwanini Jeshi la magereza lisiwe na Ngivu huko ila Jeshi la Mafunzo lililo chini ya Idaya maalumu kwa Ibara ya 121 (2) Kipengele C Ya katiba ya Zanzibar iliyoanzisha JKU liwe na nguvu?
Pascal Mayalla Unaniangusha ndugu Nsomba Mwichane
Migambo ni wingi mgambo ni umoja. Jeshi likiwa moja kama la mgambo linaitwa mgambo, majeshi yakiwa mengi kama JkU na KMKM wanakuwa migambo!.Mkuu andika migambo siyo mgambo ππ!.
Aya yako ya mwisho imetoa tafsiri halisi ya nini maana ya Jeshi.Mkuu Lubengera , mimi ni product ya wana Idara hiyo kwa baba na mama, Cheo cha Amiri Jeshi Mkuu, ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Idara ya Usalama wa Taifa, ni jeshi la usalama na wana vyeo vya kijeshi kabisa tofauti ni moja tuu!, hawavai uniforms ili wasitambulike lakini ni wajeshi!.
Ukisikia neno dola ujue ni jeshi, polisi na usalama wa Taifa!. Ukisikia Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ujue usalama ndio hao TISS.
Kitu ambacho nakubaliana na wewe ni sio TISS wote ni trained kijeshi, wengine ni informes tuu hivyo wako recruited from ordinary people with no military training. Uwepo wa untrained TISS hakuifanyi TISS kutokuwa jeshi, kuitwa Idara ya Usalama ni jina tuu, hata Idara ya Wanyapori inaitwa Idara na ni jeshi la wanyamapori.
P
Nimekuelewa ila kumbuka JKU,KMKM inaweza ikawa paramilitary na Auxiliary ila hailiwezi kuwa Militia..Maadam Tanzania ni nchi moja ya JMT chini ya Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, na ulinzi ni issue ya muungano, majeshi rasmi ni yale tuu yanayotambulika rasmi chini ya command ya CinC, majeshi mengine yote chini ya mtu mwingine yeyote, ni majeshi usu, kwa fasiri rasmi ya jeshi. JKU, KMKM na vikosi vya SMZ sio jeshi, ni jeshi usu!, ni auxiliary na para military na militia!, wote hawa ni migambo tuu!.
NB. Tafsiri ya mgambo sio lazima wawe kama mgambo wa jiji!.
P
Narudia tena JKU na KMKm sio Migambo wala Mgambo Ni Paramilitary na auxilliary ambao ni dola kwa mujibu wa katiba ya zanzibar na wala Sio militia..Migambo ni wingi mgambo ni umoja. Jeshi likiwa moja kama la mgambo linaitwa mgambo, majeshi yakiwa mengi kama JkU na KMKM wanakuwa migambo!.
P
TISS sio Jeshi ni Intelligent Agency ni kama Zanzibar mwaka 2013 chini ya Rais Shein alianzisha Enforcements Agency chini ya JKU..Aya yako ya mwisho imetoa tafsiri halisi ya nini maana ya Jeshi.
Ndio mana wenzetu wanatofautisha majeshi kwa kutumia misamiati ya military force na enforcement agencies, na hii yote inachagizwa na wingi wa misamiati (utajiri) wa lugha ya Kiingereza.
Pengine nawe utusaidie, ni sehemu gani Katiba yetu inatambua TISS kama Jeshi?
Basi tufike mahali tukubaliane kutokubaliana,Narudia tena JKU na KMKm sio Migambo wala Mgambo Ni Paramilitary na auxilliary ambao ni dola kwa mujibu wa katiba ya zanzibar na wala Sio militia..