JNIA vs JKIA tuliwaambia

JNIA vs JKIA tuliwaambia

IMG_20191216_075208.jpg
 
Wacha tufanye hesabu uchwara tuelewane; [emoji23][emoji23]
Naija$500b(gdp) - 190m(ppln) = $310B
Tz $62B(gdp) - 55m (ppln) = $7B
Ke. $90B (gdp) - 47m (ppln)= $33B
Ata Kenya nikiweka GDP @$70B., tuko nafuu kidogo!!

Kaka musijilinganishe na Nigeria kabisaa, negative relort ya media isifanye ufikirie raiya Nigeria wako ovyo over 80% kama nyinyi!

Yosef Festo,
$500 bill kwa population ya watu wangapi??..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tufanye hesabu uchwara tuelewane; [emoji23][emoji23]
Naija$500b(gdp) - 190m(ppln) = $310B
Tz $62B(gdp) - 55m (ppln) = $7B
Ke. $90B (gdp) - 47m (ppln)= $33B
Ata Kenya nikiweka GDP @$70B., tuko nafuu kidogo!!

Kaka musijilinganishe na Nigeria kabisaa, negative relort ya media isifanye ufikirie raiya Nigeria wako ovyo over 80% kama nyinyi!

Sent using Jamii Forums mobile app
JNIA is far superior over JKIA in all aspects, that is the main point. Acha kutoka nje ya mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Was answering someone ignorant like you. What is the revenue of JNIA?., superiority in which way?., beauty? The thing looks like a godown or chicken shed., airport ni runway na traffic flow sio sura., nyambaff.

And 4 times larger than Dangagiza
Kenya na Nigeria INA GDP ya wazungu na wachina na wahindi bali GDP ya Tanzania ni yetu wenyewe
Nigeria GDP 78% si Mali ya wanaigeria only 22% ndiyo yao
Kenya GDP 65% si Mali ya wakenya only 35% ndiyo yenu
Tanzania GDP 20% si mali yetu, na 80% ndiyo mali yetu ndiyo maana unaweza kuwa na GDP kubwa ila isiweze kujenga hata reli Kwa Pesa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Was answering someone ignorant like you. What is the revenue of JNIA?., superiority in which way?., beauty? The thing looks like a godown or chicken shed., airport ni runway na traffic flow sio sura., nyambaff.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, the biggest interms of capacity, very sophisticated in technology, having many air bridges, high safety technology, full automatic fire extinguishing system, modern and luxurious resting places. Hahahaha. Lazima mtaisoma namba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya na Nigeria INA GDP ya wazungu na wachina na wahindi bali GDP ya Tanzania ni yetu wenyewe
Nigeria GDP 78% si Mali ya wanaigeria only 22% ndiyo yao
Kenya GDP 65% si Mali ya wakenya only 35% ndiyo yenu
Tanzania GDP 20% si mali yetu, na 80% ndiyo mali yetu ndiyo maana unaweza kuwa na GDP kubwa ila isiweze kujenga hata reli Kwa Pesa yako

Sent using Jamii Forums mobile app

LDC consolation tactics.
Kwa nini mishahara ya Kenya pia iko juu? Daktari hapa analipwa mara tatu Mtanzania. Mwalimu vile vile.
 
Hilo ndio tatizo lenu, kuweka mishahara mikubwa lakini serikali inashindwa kuwahudumia wananchi walio wengi.

Kenya mishahara pekee ni 52% ya revenue ya serikali, watumishi wa serikali ni 2% ya wakenya wote, hii maana yake ni kwamba, 52% ya pato la serikali linatumiwa na 2% ya wakenya pekee, lakini serikali yenu haina uwezo wa kutoa tiba ya " cancer" bure kwa wakenya masikini," That's why Kenyan economy is the most ruthless in Africa"

Very simple, wakenya walio ishi Tanzania wangekujibu vizuri sana gharama za maisha Tanzania zipo chini sana mara 2 ya Kenya kwenye kila kitu kuanzia Umeme, usafiri ,makazi , viwanja, mashamba, elimu, huduma za afya nk pia Kenya usisadi umefanya watu walipane mishahara mikubwa for nothing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndio tatizo lenu, kuweka mishahara mikubwa lakini serikali inashindwa kuwahudumia wananchi walio wengi.

Kenya mishahara pekee ni 52% ya revenue ya serikali, watumishi wa serikali ni 2% ya wakenya wote, hii maana yake ni kwamba, 52% ya pato la serikali linatumiwa na 2% ya wakenya pekee, lakini serikali yenu haina uwezo wa kutoa tiba ya " cancer" bure kwa wakenya masikini," That's why Kenyan economy is the most ruthless in Africa"

Sent using Jamii Forums mobile app
true naunga mkono[emoji122]

Hao 2% hawana familia..akili zako huaga zipo zipo tu walai...

Baba akilipwa ksh400,000 per month unafikiria hzo zitakua ni za kwake tu....
Ukumbuke ana wazazi, mke pamoja na watoto na wote watakua wananufaika kutokana na huo mshahara wake...

Elimu mhimu jamaaa...[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom