Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uzamie hko km mfuko wako hauko vizuri...sasa jiulize huyo mwenzake kashukia wapi nairobi...Wako busy na maisha halafu at the end of the day wanaishia kibera,dandora na Mathare
Tuletee idadi ya middle class nairobi na dar[emoji848][emoji848][emoji848]Wako busy na maisha halafu at the end of the day wanaishia kibera,dandora na Mathare
Tuletee idadi ya middle class nairobi na dar[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wameilenga hyo story, unafikiria wanaweza jichanganya..Wakikujibu nitag! Wanapenda domo facts zikiwekwa wako ovyo in EAC na SADC., aibu tupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yosef Festo,
$500 bill kwa population ya watu wangapi??..
JNIA is far superior over JKIA in all aspects, that is the main point. Acha kutoka nje ya mada.Wacha tufanye hesabu uchwara tuelewane; [emoji23][emoji23]
Naija$500b(gdp) - 190m(ppln) = $310B
Tz $62B(gdp) - 55m (ppln) = $7B
Ke. $90B (gdp) - 47m (ppln)= $33B
Ata Kenya nikiweka GDP @$70B., tuko nafuu kidogo!!
Kaka musijilinganishe na Nigeria kabisaa, negative relort ya media isifanye ufikirie raiya Nigeria wako ovyo over 80% kama nyinyi!
Sent using Jamii Forums mobile app
JNIA is far superior over JKIA in all aspects, that is the main point. Acha kutoka nje ya mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya na Nigeria INA GDP ya wazungu na wachina na wahindi bali GDP ya Tanzania ni yetu wenyeweAnd 4 times larger than Dangagiza
Hahahaha, the biggest interms of capacity, very sophisticated in technology, having many air bridges, high safety technology, full automatic fire extinguishing system, modern and luxurious resting places. Hahahaha. Lazima mtaisoma namba.Was answering someone ignorant like you. What is the revenue of JNIA?., superiority in which way?., beauty? The thing looks like a godown or chicken shed., airport ni runway na traffic flow sio sura., nyambaff.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya na Nigeria INA GDP ya wazungu na wachina na wahindi bali GDP ya Tanzania ni yetu wenyewe
Nigeria GDP 78% si Mali ya wanaigeria only 22% ndiyo yao
Kenya GDP 65% si Mali ya wakenya only 35% ndiyo yenu
Tanzania GDP 20% si mali yetu, na 80% ndiyo mali yetu ndiyo maana unaweza kuwa na GDP kubwa ila isiweze kujenga hata reli Kwa Pesa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio tatizo lenu, kuweka mishahara mikubwa lakini serikali inashindwa kuwahudumia wananchi walio wengi.LDC consolation tactics.
Kwa nini mishahara ya Kenya pia iko juu? Daktari hapa analipwa mara tatu Mtanzania. Mwalimu vile vile.
Mwiba huooooWas answering someone ignorant like you. What is the revenue of JNIA?., superiority in which way?., beauty? The thing looks like a godown or chicken shed., airport ni runway na traffic flow sio sura., nyambaff.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unafurahia mishahara mikubwa wakati mashinani kupo hivi?LDC consolation tactics.
Kwa nini mishahara ya Kenya pia iko juu? Daktari hapa analipwa mara tatu Mtanzania. Mwalimu vile vile.
Very simple, wakenya walio ishi Tanzania wangekujibu vizuri sana gharama za maisha Tanzania zipo chini sana mara 2 ya Kenya kwenye kila kitu kuanzia Umeme, usafiri ,makazi , viwanja, mashamba, elimu, huduma za afya nk pia Kenya usisadi umefanya watu walipane mishahara mikubwa for nothingLDC consolation tactics.
Kwa nini mishahara ya Kenya pia iko juu? Daktari hapa analipwa mara tatu Mtanzania. Mwalimu vile vile.
true naunga mkono[emoji122]Hilo ndio tatizo lenu, kuweka mishahara mikubwa lakini serikali inashindwa kuwahudumia wananchi walio wengi.
Kenya mishahara pekee ni 52% ya revenue ya serikali, watumishi wa serikali ni 2% ya wakenya wote, hii maana yake ni kwamba, 52% ya pato la serikali linatumiwa na 2% ya wakenya pekee, lakini serikali yenu haina uwezo wa kutoa tiba ya " cancer" bure kwa wakenya masikini," That's why Kenyan economy is the most ruthless in Africa"
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo nimeishiwa mkuu .....kwani vipi?[emoji3]Huwezi jenga hoja bila matusi? Au ndio kuishiwa?
Hao 2% hawana familia..akili zako huaga zipo zipo tu walai...Hilo ndio tatizo lenu, kuweka mishahara mikubwa lakini serikali inashindwa kuwahudumia wananchi walio wengi.
Kenya mishahara pekee ni 52% ya revenue ya serikali, watumishi wa serikali ni 2% ya wakenya wote, hii maana yake ni kwamba, 52% ya pato la serikali linatumiwa na 2% ya wakenya pekee, lakini serikali yenu haina uwezo wa kutoa tiba ya " cancer" bure kwa wakenya masikini," That's why Kenyan economy is the most ruthless in Africa"
Sent using Jamii Forums mobile app