Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma
Ila nikikumbuka kauli ya Ndungai akishambulia mkopo wa Serikali, nabaki kusema hiiiiiiiiiiiiiiiii.......
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
Nilijua tu huu uzi hutaisha bila mkware mmoja kutia nakshi za mahaba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.

Ndugai hawezi kumuunga mkono huyu Mama ingawa kwenye public anaweza kuongea kuonyesha hana kinyongo nae.
Picha tu inaonyesha Ndugai hana furaha, yani kama kalazimishwa
 
Nilijua tu huu uzi hutaisha bila mkware mmoja kutia nakshi za mahaba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtaalamu, usiniambie hujawahi kuwa nae Zero distance Mh. Mama yetu Samiah Suluhu Hassan utakuwa umejionea alivyo mzuri jumulisha na ule muondoko wake wa kunesanesa kama twiga ni hatari tupu unaweza jikuta unapoteza concentration.
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.

umetoa wosia mkubwa sana kwa mabinti aisee..

Mama she is over 50yrs lakini bado mbichi kabisa...hawa mabinti wa sasa kama magari ya matiper ya mchanga vile kwenye road construction...
 
Yustino na yeye vana yaani kiatu ulichovaa wakati unaapishwa unaibu spika 2010 bado unacho hadi wa leo
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
Mama kala apple watch mie nikiangalia vidole vyake ndio huwa vinanikosha vimekula mgodi wa Geita mwanzo mwisho!
 
Picha tu inaonyesha Ndugai hana furaha, yani kama kalazimishwa
Huo ni ukweli ulio dhahiri. Hwpo alipo akiwaza alivokuwa akitwmba Bungeni na kunyanyasa Wabunge leo ni Mbunge wa kawaida....Mungu hadhihakiwi bhana!!!
 
Yuko BENKI, aunachekelea hela za bure hadi kufa, nyie mnamjadili.....!!!

Isije ikawa hata barua inayosemekana nayo kaandikiwa? Isije kuwa hata hivyo viatu kakurupushwa kwa ajili ya picha na labda ikawa si ya leo? Isije ikawa yuko kusikojulikana?

Kwani kina Lijenje, Ben, Azory na wale wengine nao wako benki ipi wasikomaliza kuhesabu hizo pesa?
 
umetoa wosia mkubwa sana kwa mabinti aisee..

Mama she is over 50yrs lakini bado mbichi kabisa...hawa mabinti wa sasa kama magari ya matiper ya mchanga vile kwenye road construction...
Juzi nimemutoa out binti wa kichaga mid 30, kwa kweli yule binti phenotopically ni mzuri sana nilipokuwa nae faragha nilishangaa inapenya tu hata ka resistant kadogo hakakiwepo na hapo alinihakikishia hajafinywa kama miezi mitatu..

Niliamua kumla tu hivyohivyo ila moyoni nikajua tayari nimeuziwa mbuzi kwenye gunia moja kwa mkna nikajua wiki hii ama wikiendi iliyopita alikunjwa.

Cha kushangaza jioni ya jana na leo asubuhi sms za my love zimekuwa nyingi mno, niwaaase wadada wajitahidi kujitunza maana hata ikulu zao kuna muda zinafika zinashindwa ku retain there original size.
 
Hivi ukiitwa ukakataa kwenda watafanyaje? Nimewahi sikia kuwa musuguli akiwa CDF aliwahi kupuuza wito wa rais mwinyi!
Itahesabika kama dharau, sasa hapo inategemea na busara ya mtendwa anaweza potezea kwa kuchukulia poa ama mkaanza kusakana ile kibifu kila mtu kwa hadhi yake msakwa atajihami kwa hadhi na uwezo wake same applicable kwa msaka.
 
Mama kala apple watch mie nikiangalia vidole vyake ndio huwa vinanikosha vimekula mgodi wa Geita mwanzo mwisho!
Tajiri, gifts zinakuja za kutosha kula kukicha kutoka pembe mbalimbali za dunia na mama anapenda sana Jewelleries kwa sana tu ndio maana anatupia za kutosha tu.
 
Juzi nimemutoa out binti wa kichaga mid 30, kwa kweli yule binti phenotopically ni mzuri sana nilipokuwa nae faragha nilishangaa inapenya tu hata ka resistant kadogo hakakiwepo na hapo alinihakikishia hajafinywa kama miezi mitatu...
Mmh ss ndo hicho ndo kinafanya uwaze unavyowaza?

Hujui kuwa watu wanatofautiana km yalivyo maumbile?
 
Yupo mbinguni kwa yesu kujibu maswali.

Kwani yeye ndiye aliyehusishwa na huyu mwamba?
IMG_20220112_212300_835.jpg
 
Back
Top Bottom