Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma
Ningekuwa job ndugai ningechukua tena form ya uspika wakiniuliza niwaambie nimetafakari nikaona sina kosa
 
Maisha ya siasa hayatofautiani na maisha yetu huku mitaani.....

Ukipata nafasi ya juu kutumika kisiasa ujue pia iko siku itaondoka/itakuondoka na BUSARA ni kuendeleza malengo kuntu ya chama na nchi kwa kuwasaidia wengine......

#Nchi Kwanza
#Siempre JMT
#Siempre CCM🙏
 
NDUGAI kakoseewa sna na adabu uwezi nichamba vile alfu utake tupige picha public kbsa aisee hata mm ningenuna tu cwez kenua meno kwa. Mtu alikwisha niudhi na kunidhalilisha
Anapewa ubalozi wa nchi nzuri tu
 
Mwamba?😄😄😄 Itakua Mwamba wa barafu.
Mwamba wa 'chokaa' (limestone). Kwa muonekano huwa ni kama mwamba imara, lakini maji ya mvua yanautoboa kirahisi
1642001955062.png
 
Ndo kapeleka majina ya sukuma gang?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.

Pia soma; Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

====

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB MDUGAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo January 12,2022

Anajiuzulu ubunge

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Naona hujui pictorial interpretation.

Binafsi ukiangalia hii picha kama mama ana hofu na soni kumtazama Job..Huku Job akiwa na ham sana ya kumshika mkono mama ila mama naye hana "Time" naye kabisa .


Ni kama kuna juhudi za kuwaunganisha pamoja ila wote wanaonekana wamelazimuahwa.

Hakuna inner willing ya wahusika kumaliza tofauti zao.

Nawaza tu kuliingana na picha!!


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi nachokiona hapo ni kuwa ;

Ndugai anaonekana kununa kwakua ameface direction ya jua hivyo anajikaza jua linapompiga ( angalia kivuli cha Rais kinaonekana nyuma yake, hivyo jua lilikua linawapiga straight machoni).

Rais hayupo settled ( ameshika mikono) mara nyingi mtu anayefikicha mikono . anakua na mambo mengi yanamsumbua kichwani.

Binafsi naimani kuwa mazungumzo yalikwenda vyema kwenye issue za msingi.
 
We dont give a fkuc....

Wapambane kivyaoo
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
Isee.....! Kila mtu ana macho yake 😳😳😳
Huyo bibi anaonekana kama binti wa miaka 28?!
Wito wako kwa mabinti uko sahihi, lakini hayo mengine.....dah 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom