Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunapiga naye mapuya kwa mama muuzaKumekuwa na sintofahamu ya aliko Spika wa bunge JMT Job Yustino Ndugai.
Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapiga naye mapuya kwa mama muuzaKumekuwa na sintofahamu ya aliko Spika wa bunge JMT Job Yustino Ndugai.
Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha...
Yupo mbinguni kwa yesu kujibu maswali.
Kwani Ben Azory Lijenje Malema au wale wa kwenye viroba tunaowaulizia kila leo walikopa?Una mdai?kwani
Watanzania ni washamba jamaa mshahara kama kawaida, ulinzi kama kawaida, matibabu bure halafu unakuta mtu kula yake kwa tabu anashangilia yeye kuondoka kwa uspika.Yuko BENKI, aunachekelea hela za bure hadi kufa, nyie mnamjadili.....!!!
Tunapiga naye mapuya kwa mama muuza
Mwamba jambaziMwamba?😄😄😄 Itakua Mwamba wa barafu.
Watanzania ni washamba jamaa mshahara kama kawaida, ulinzi kama kawaida, matibabu bure halafu unakuta mtu kula yake kwa tabu anashangilia yeye kuondoka kwa uspika.
Binafsi bado nashikilia msimamo wangu, Tanzania lina binadamu wa ajabu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Dunia ni giza by Yesu Kristo
Binti kazidiwa na tamaa!
Job Ndugayi aliyejiuzulu Uspika.--- "Spika aliyejiuzulu" ndio lugha ya wapi??!!Spika aliyejiuzulu,
Binti kazidiwa na tamaa!
Kwa mujibu wa Biblia tunasema " hana kiasi"
Maswali mengine sina majibu, ila kuhusu Mama kurudi Dodoma, hiyo ni kweli kwani nilikuwepo Airport ya Dodoma kwa shughuli zangu.
Halafu hakuna picha ya video au hata kauli zao mbele ya waandishi?