Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
Body language though, vinyongo vimetamalaki mioyoni
 
Hujasema macho yako yameona nini cha tofauti ili nasi tupime uhalisia wa ulichoona. Si kila mtu anawaza unavyowaza, kuna baadhi yetu humu wanazo taarifa za ziada zinazoweza kukufumbua macho na kukuondolea utata. Fungukaa
 
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
Bure sana. Ni katika kuombaomba msamaha kwa jambo sio losa kwa spika ws bunge kufanya.
 
Hujasema macho yako yameona nini cha tofauti ili nasi tupime uhalisia wa ulichoona. Si kila mtu anawaza unavyowaza, kuna baadhi yetu humu wanazo taarifa za ziada zinazoweza kukufumbua macho na kukuondolea utata. Fungukaa
Hiyo quality ya hiyo milango mbona haiendani na hadhi ya Ikulu au picha ndio yenye poor quality labda kutokana na mwanga wa jua?
 
Ccm Haiishi Sarakasi Picture Zao Sasa Zimejaa Ghiriba Tupu

Ni wazi kuwa:
IMG_20220110_071335_038.jpg

Hata hivyo haki za msingi za awaye yote akiwamo Job Yustino Ndugai kama zilivyokuwa za Mbowe zinatuhusu.
 
Aisee kumbe Ndugai ni mfupi kama Kawawa? Ndiyo maana anasumbuliwa na small man syndrome

What is Small Man Syndrome?​

Small Man Syndrome refers to a condition where a man feels inadequate because of his short height and may try to overcompensate it with overly aggressive behaviour. The syndrome is often referred to as Napoleon Complex in reference to the famous military leader. It is believed one of the reasons Napoleon was so successful was due to him trying to hide his short height. He was highly motivated to prove he could achieve greatness despite his height limitations.

Symptoms

It is believed shorter men are more prone to loud, ostentatious, even aggressive behaviour. Like Napoleon, they might have grandiose plans and ambitions, notoriously trying to achieve a dominating position. It is almost as if they are in constant competition with other men, to prove their worth. To show that despite their small height they still offer value. This behaviour might become obsessive and prevent people from developing healthy relationships.

There are for example stories of men forbidding their girlfriends to wear high-heels as it would accentuate their comparative stature. These behavioural patterns might result in a vicious circle where someone does not feel accepted so they create those protective mechanisms that eventually push others away, further deepening feelings of inadequacy. This then provokes the overcompensating behaviour to start again.

Siujui kwanini nilisita kulisema hili hapa JF kwani lilinijia kichwani tangu jana kuwa linaweza kutokea

Nilichotaka kusema ni uwezekano wa Ndugai kuitwa Ikulu kwa lengo la kupozwa na kupigwa picha ya pamoja kama hii ili kuonyesha umma kuwa Mama na Spika wako pamoja.

Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.

Ndugai hawezi kumuunga mkono huyu Mama ingawa kwenye public anaweza kuongea kuonyesha hana kinyongo nae.

Under certain circumstances, it is very easy to foresee or predict negative things that our politicians are likely do or say. But under the same or different circumstances, it is very difficult to predict or foresee positive things that our politicians are likely to do or say.

As a nation, we are very unlucky.

Ni Kweli hiyo picha inaonesha wazi kuwa Ndugai hayuko na Mama Samia bali ni kwavile ameitwa basi inabidi aende!! I do not believe that Ndugai could have initiated such a meeting, it must have been forced on him after Samia was advised to do so to gain political mileage!!
 
View attachment 2078302
Baada ya kutoka Zanzibar kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ras Samia amekutana na Spika aliyejiuzulu, Jacob Ndugai Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo mchana
Wamechaguuuua picha zote wakaona hii ndio yenye afadhari?

Hii public stunt itakuwa imepangwa na wazee wa chama ila si Ndugai wala Samia ambaye amesamehe na tayari kumove on
 
Siujui kwanini nilisita kulisema hili hapa JF kwani lilinijia kichwani tangu jana kuwa linaweza kutokea

Nilichotaka kusema ni uwezekano wa Ndugai kuitwa Ikulu kwa lengo la kupozwa na kupigwa picha ya pamoja kama hii ili kuonyesha umma kuwa Mama na Spika wako pamoja.

Nilipanga pia kumuonya Mama kuwa Ndugai ataitikio wito kwa heshima ya Raisi tu ila moyoni teyari ana kinyongo.

Ndugai hawezi kumuunga mkono huyu Mama ingawa kwenye public anaweza kuongea kuonyesha hana kinyongo nae.

Under certain circumstances, it is very easy to foresee or predict negative things that our politicians are likely do or say. But under the same or different circumstances, it is very difficult to predict or foresee positive things that our politicians are likely to do or say.

As a nation, we are very unlucky.
Just for the public to calm down. The truth remains the same. Neither of them will get healed deep in their hearts from this event.
 
Picha Yao inasomeka. Kuna jambo hawajakubaliana Madame kamsuta au kamchamba Tena kwa kukosea makusudi Ile barua yake ya kujiuzulu kwani aliiaddress Kwa KM wa ccm badala ya katibu wa bunge!
Ni Kama anamwambia kuwa wewe mgogo usijifanye unajua Sana na kumbuka mimi ni mtoto wa mjini kushindwa wewe mchunga ng'ombe! Usinizingue kwani tutazinguana! Kule kugeuka Kila mmoja na upande wake na Kwa mkao wa mkono wa Madame ni Kama kamwambia ebu pisha kule!
Watakuwa wamepishana kauli na hawajakubaliana! Mgogoro mtamu huu!
 
Mama must be careful in all her actions and reactions hence, her decisions. Why?
Kwa sababu kuna mambo yanahitaji hekima, mengine sheria na mengine mamlaka.
Uamuzi unaozingatia mamlaka pekee ni hatari for both herself and others, say, the nation.
 
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.

Pia soma; Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

====

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB MDUGAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo January 12,2022

Hii picha inasema mengi sana
 
Picha Yao inasomeka. Kuna jambo hawajakubaliana Madame kamsuta au kamchamba Tena kwa kukosea makusudi Ile barua yake ya kujiuzulu kwani aliiaddress Kwa KM wa ccm badala ya katibu wa bunge!
Ni Kama anamwambia kuwa wewe mgogo usijifanye unajua Sana na kumbuka mimi ni mtoto wa mjini kushindwa wewe mchunga ng'ombe! Usinizingue kwani tutazinguana! Kule kugeuka Kila mmoja na upande wake na Kwa mkao wa mkono wa Madame ni Kama kamwambia ebu pisha kule!
Watakuwa wamepishana kauli na hawajakubaliana! Mgogoro mtamu huu!
Wabongo kwa utunzi wa hadithi mpo juu
 
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.

Pia soma; Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

====

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB MDUGAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo January 12,2022

Sasa hii ni taarifa au ni nini? Wamekutana kunywa chai au kupiga picha tu?, walizungumza chochote au walikuwa wanakodoleana macho? Kuna mmoja alisema chochote kwa mwenzake? Maana hiyo picha na aliyeileta ni kujaribu kuwawekea Watanzania wanasesere vichwani mwao. Ingetolewa taarifa yenye kujibu maswali siyo kuunda maswali mengine. Huu nao ufyatu.
 
Back
Top Bottom