TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yeye na mwendazake walitaka Lissu asipone au afe kwa msongo wa mawazo wakati anajiuguza. Ndiyo maana walikuwa wanamfanyia mambo ya hovyo
Wote wamekufa wamemwacha Lissu anadunda.

Hata aliyemtengenezea kesi ya uhaini atakuwa atamwacha Lissu.
Madaraka yanalevya sana.
 
Hivi ile ngoma yake alipona???
 
Mwamba angeshakufa zamani sema ni hela imemsogeza. Edgar Chagwa Lungu naye wangemruhusu matibabu angeendelea kuishi hadi Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…