TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pumzika kwa Amani Ngugai- mpelekee mrejesho JPM na mambo yanavyoendelea huku duniani kama ulivyo yaacha... kelele za uchaguxi na vilio vya kutaka haki kila corner. Mwambie kwamba Tundu Lissu bado yuko mahabusu...
Waliofariki huwa wanawasiliana? Umejuaje?
 
Haiwezi kua kweli asee, duu imethibitika kweli, shida nini? Mbona ghafra?

Tusubiri mapambio ya wanasiasa sasa.
Sijui kama Watz hasa hawa mafisi wa CCM wanajifunza kwa haya matukio......Magufuli na Job Ndugai wali wanyanyasa sana CHADEMA.....!!
Hawa 2( sasa wote ni marehemu) ndo waliokuwa nyuma ya mipango yoote ovu ya kuondoa uhai wa Lissu. Lakini pia Ndugai ndo aliruhusu sheria kandamizi za kuwadhibiti CHADEMA ndani na nje ya Bunge!
Ndugai huyuhuyu ndiye aliyefanya njama za kuwaingiza Covid-19 Bungeni 2020 baada ya kuwazuia CHADEMA wasipate Wabunge halali kutoka Uchaguzi Mkuu 2020.

Hizi ni salaam tosha sana kwa Wana CCM kuanzia Mwenyekiti wao, Spika wa sasa Bi Tulia na Viongozi wengine wanao mtesa TAL Mahabusu pasi na sababu yoyote.
Yajayo yanasikitisha sana!
 
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.

Huu wasifu mbona umekorogeka!!!
 
Aisee sijawahi kuona kitu cha ajabu kama hiki may his soul rest in peace
 

Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma

Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.

Amesoma Stashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Mweka kuanzia mwaka 1986-1988, kisha Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1989-1993).

Amesoma Post Graduate kutoka Chuo cha Kilimo nchini Norway kuanzia 1994-1995 na kusoma Shahada ya Umahiri kutoka chuo hicho (1995-1996).

Safari yake ya elimu iliishia Eastern and Southern African Management Institute ambapo alisoma Shahada ya Umahiri katika Usimamizi wa Biashara (2005-2008)

Amekuwa Mbunge wa Kongwa kwa miaka 25 sasa (tangu mwaka 2000) na ameshika nafasi mbalimbali ndani ya kamati za bunge.

Alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Novemba 17, 2015 baada ya kupata kura 254 kati ya 365, na mpinzani wake Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA akipata kura 109, huku kura mbili zikiharibika. Kabla ya hapo alihudumu kama Naibu Spika wa Bunge tangu mwaka 2010.

Katika uongozi wake wa bunge, mambo kadhaa yameibua mjadala mkubwa ikiwemo sakata la wabunge 19 wa CHADEMA wanaodaiwa kuvuliwa uanachama wao, na kuhojiwa kwa baadhi ya wabunge akiwemo Josephat Gwajima na Jerry Muro kwa madai ya kushusha hadhi na heshima ya bunge.

Suala jingine ni kumtaka mmoja wa wabunge aliyedai amevaa nguo zisizo za staha kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Uamuzi huo ulikosolewa vikali, wakosoaji wakieleza kwamba vazi la mbunge huyo halikuwa na tatizo. Karibuni, amezua mjadala tena kwa kusema Tanzania haitakiwi kukopa ili kufadhili miradi ya maendeleo.

Mbali na ubunge, amefanya kazi sehemu nyinginezo ikiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Pori la Akiba Selous na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).

Januari 6, 2022 amejiuzulu nafasi ya Uspika kutokana na sababu binafsi na kwa hiari yake.

Ndugai ni mume wa Fatuma Mganga.
Wajumbe si watu
 
Huyu alijiona mungu mtu sana pumbavu zake. Alinyanyasa sana wapinzani, alifuta mapato ya Lissu sasa mungu kamuonyesha. Apumzike motoni. Bado Tulia na Frog kiziwi. Ila angekufa Kikwete ningefurahi sana.
 
anyway, ila sipati picha jinsi FISIEM walivyo wanafiki watajitia kuomboleza na kulia kwa sauti kubwa kuliko hata wafiwa
Haya nivizuri na sare zenu za kijani mlikuwa mshaandaa, mkanunue na mawani meusi sasa mkaonyeshane mitindo ya mavazi msibani

Itukumbushe dunia hii ni ya MUNGU na tuenende kwa adabu
 
Huyu alijiona mungu mtu sana pumbavu zake. Alinyanyasa sana wapinzani, alifuta mapato ya Lissu sasa mungu kamuonyesha. Apumzike motoni. Bado Tulia na Frog kiziwi. Ila angekufa Kikwete ningefurahi sana.
Kwenye akili za Nyumbu ni Tundu Lissu na Lema kifo hakiwahusu
 
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.

Huu wasifu mbona umekorogeka!!!
Mafisi wa CCM wamechanganyikiwa. Laana ya Mhe. LISSU INAWATAFUNA...Na bado!
 
Huyu alijiona mungu mtu sana pumbavu zake. Alinyanyasa sana wapinzani, alifuta mapato ya Lissu sasa mungu kamuonyesha. Apumzike motoni. Bado Tulia na Frog kiziwi. Ila angekufa Kikwete ningefurahi sana.
Nimesikia juzi wakti anaomba kura mbele za Wajumbe alipiga magoti akasema, " MIMI NI MKE WENU....NAOMBA MNICHAGUE" Sijui alimaanisha nini maskini Ayubu!!
 
This guy was so vision lees.


Matokeo ya kushinda kura za maoni yalitangazwa usiku wa manane after tug of war, in politics ukiona umetengwa just quit and do other things as mwakyembe a big boss ktk mashrika y gvnmt
Sio mashirika ni board chair wa MUHAS
 
Siku nzima leo sikuwa na amani wala furaha ya kufanya kazi. Nimeenda mapema nyumbani kulala nikaamka saa moja kasorobo ili niangalie mechi ya Taifa Stars. Bado Sina raha na Konyagi hainogi! Kumbe mtu ninayempenda amefariki!!😭😭😭😭!

Nenda Kaka na Kiongozi wangu. Mbele wewe, nyuma sisi! Mwendo umeumaliza, pumzika kwa amani!!
 
Back
Top Bottom