MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,258
- 6,815
Tuliza mshono weweFala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombati
Kifo kipo ndiyo maana tunasema kifo ni kifo tu.
Tuliza mshono weweFala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombati
Kwan si alishinda?This guy was so vision lees.
Matokeo ya kushinda kura za maoni yalitangazwa usiku wa manane after tug of war, in politics ukiona umetengwa just quit and do other things as mwakyembe a big boss ktk mashrika y gvnmt
Aliiba kura kiwiziKwan si alishinda?
Hii kauli ungeitoa ukiwa unatumia jina lako halisi yaani utambulisho wako halisi ingefaa sana tofuati na hapo ni keyboard warriorsNo hakuna inawezekana yeye Samia ndiyo kamuua msela. Ingekuwa onyo basi mkwe wake mtoto wake wangetuma ujumbe
Mkuu, umeandika jibu kamili kabisa.Kwanini "walimruhusu" ashinde kura za wajumbe ikiwa wana mkakati wa kummaliza?
Ilikuwa ni mojawapo ya mbinu? kummaliza katika mchakato?
Kuna muunganiko gani kati ya mchakato wa kampeni na mauaji yake?
Na kwanini alikubali "kushindishwa" kura? Hakutambua hatari ya kushindishwa na wabaya wake?
Au "waliomshindisha" ni watu tofauti na mahasimu wake? inawezekana?
Au alikuwa na malengo gani? Au alikosea kusoma drafti?
Au ni kifo cha kawaida? au ni ujumbe? Au? Au? Au aliridhia? Au? Au? Au?
Au wauaji wana malengo ya kupindisha maoni ya watu kuhusu chanzo cha kifo chake? Kwa kuuonesha umma kwamba ameuwawa na wabaya wake? Kumbe sivyo?
Haya ni maneno ya kawaida ambayo huwa yanatolewa misibani.. si jambo la ufahamu, ni jambo la maneno ya misibani kuomboleza kifo... una lingene?Waliofariki huwa wanawasiliana? Umejuaje?
Huelewi chawa wewe!! Nani kasema ataishi milele? Tunachosema ni malipo huwa ni hapahapa! Hv unajua Lissu alitakiwa afe Sept, 2017? Magu aliyetaka Lissu afe yeye akafa 2021(4 years later!)Lissu yeye ataishi milele?
AmeenMungu ingilia kati Babaaa .... Bado Zena Maushungi na Betina miwani...
Hahaha 😂 raha ya JF, aisee ukiwa kiongozi nadhani JF ni muhimu sana ili ujue mitizamo ya watu hata ukiwa rais naona ni jukwaa muhimu yaani hapa unaweza sikia story ambazo hakuna anayeweza kukuambia.Hii kauli ungeitoa ukiwa unatumia jina lako halisi yaani utambulisho wako halisi ingefaa sana tofuati na hapo ni keyboard warriors
Au amepata tetesi watampiga chini presure ikapanda akazima mazimaAliiba kura kiwizi
nadharia ya kijinga jinga ni huyu kauawa vita vya madaraka maana angerudi bungeni angeweza kushinda u spika halafu akaisumbua serikali iliyoko kwa madaraka. Na ukumbuke ndiye alipangwa kuwa presida baada ya jpm kwa katiba ya makamu hawezi kwa kupindua meza (kwa mujibu wa umbea wa foma cdf), mpango ulipogoma wakatafuta platfomu akajichanganya akaandikishwa barua ya kujihudhuru (alitaka kugoma malecela akamfuata akamuambia watakuua achia u spika-hii aliwahi share yeye mwenyewe marehemu ndugai), maana yake wale waliotaka kumuua akiwa spika endapo angekataa ndiyo hao hao waliommaliza now ili asije shindania u spikaKwanini "walimruhusu" ashinde kura za wajumbe ikiwa wana mkakati wa kummaliza?
Ilikuwa ni mojawapo ya mbinu? kummaliza katika mchakato?
Kuna muunganiko gani kati ya mchakato wa kampeni na mauaji yake?
Na kwanini alikubali "kushindishwa" kura? Hakutambua hatari ya kushindishwa na wabaya wake?
Au "waliomshindisha" ni watu tofauti na mahasimu wake? inawezekana?
Au alikuwa na malengo gani? Au alikosea kusoma drafti?
Au ni kifo cha kawaida? au ni ujumbe? Au? Au? Au aliridhia? Au? Au? Au?
Au wauaji wana malengo ya kupindisha maoni ya watu kuhusu chanzo cha kifo chake? Kwa kuuonesha umma kwamba ameuwawa na wabaya wake? Kumbe sivyo?
We mwana chealsee unaumiaga sanaKama vile nyie huko chadema hamfi, Subiri mumeo mbowe afe ndo uje na kilio.
Hawa jamaa watauana hadi wamalizane.nadharia ya kijinga jinga ni huyu kauawa vita vya madaraka maana angerudi bungeni angeweza kushinda u spika halafu akaisumbua serikali iliyoko kwa madaraka. Na ukumbuke ndiye alipangwa kuwa presida baada ya jpm kwa katiba ya makamu hawezi kwa kupindua meza (kwa mujibu wa umbea wa foma cdf), mpango ulipogoma wakatafuta platfomu akajichanganya akaandikishwa barua ya kujihudhuru (alitaka kugoma malecela akamfuata akamuambia watakuua achia u spika-hii aliwahi share yeye mwenyewe marehemu ndugai), maana yake wale waliotaka kumuua akiwa spika endapo angekataa ndiyo hao hao waliommaliza now ili asije shindania u spika