Jiwe mida hu kabakia mifupa - Mungu anaishi....tutende HAKI wanadamu.Duu Mungu fundi lisu yupo hai ndugai yupo kwenye futi sita tutende haki wadau

CCM wanajionaga ni Miungu.Jamaa aliagiza CAG apelekwe Bungeni kwa PINGU kisa CSG kasema Bunhe ni dhaifu.
Aisee, watu tukipata madaraka huwa tunajisahau saana.
Kama vile nyie huko chadema hamfi, Subiri mumeo mbowe afe ndo uje na kilio.Watauana sana
Hiyo miaka haijakaa sawa, labda kama alisoma sekondari kwanza baadaye shule ya msingina kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Halafu ndiyo mmejaa humu na kujiita GT!!No hakuna inawezekana yeye Samia ndiyo kamuua msela. Ingekuwa onyo basi mkwe wake mtoto wake wangetuma ujumbe
Pole sana kwa familia ya Ndugai.Nadhani hapa inatukumbusha kuwa kifo ni cha kila mtu na kwamba hujui dakika wala saa utakapo ziacha hizo mali na heshima ulizonazo.
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Amesoma Stashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Mweka kuanzia mwaka 1986-1988, kisha Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1989-1993).
Amesoma Post Graduate kutoka Chuo cha Kilimo nchini Norway kuanzia 1994-1995 na kusoma Shahada ya Umahiri kutoka chuo hicho (1995-1996).
Safari yake ya elimu iliishia Eastern and Southern African Management Institute ambapo alisoma Shahada ya Umahiri katika Usimamizi wa Biashara (2005-2008)
Amekuwa Mbunge wa Kongwa kwa miaka 25 sasa (tangu mwaka 2000) na ameshika nafasi mbalimbali ndani ya kamati za bunge.
Alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Novemba 17, 2015 baada ya kupata kura 254 kati ya 365, na mpinzani wake Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA akipata kura 109, huku kura mbili zikiharibika. Kabla ya hapo alihudumu kama Naibu Spika wa Bunge tangu mwaka 2010.
Katika uongozi wake wa bunge, mambo kadhaa yameibua mjadala mkubwa ikiwemo sakata la wabunge 19 wa CHADEMA wanaodaiwa kuvuliwa uanachama wao, na kuhojiwa kwa baadhi ya wabunge akiwemo Josephat Gwajima na Jerry Muro kwa madai ya kushusha hadhi na heshima ya bunge.
Suala jingine ni kumtaka mmoja wa wabunge aliyedai amevaa nguo zisizo za staha kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Uamuzi huo ulikosolewa vikali, wakosoaji wakieleza kwamba vazi la mbunge huyo halikuwa na tatizo. Karibuni, amezua mjadala tena kwa kusema Tanzania haitakiwi kukopa ili kufadhili miradi ya maendeleo.
Mbali na ubunge, amefanya kazi sehemu nyinginezo ikiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Pori la Akiba Selous na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
Januari 6, 2022 amejiuzulu nafasi ya Uspika kutokana na sababu binafsi na kwa hiari yake.
Ndugai ni mume wa Fatuma Mganga.
Duh 🙄 !Amesikika akiwaambia wapigakura wake yeye ni mke wao huenda alikuwa na shida kichwani
Watauana sana
Pole kwa Familia ya Mzee Job Yustino Ndugai,

Afadhali amefariki dunia. Huyu ni mmoja ya waliochangia kuharibu demokrasia ya nchi hii.
Pumbavu mkubwa wewe mmemfunga Tundu Lisu ili asiwaumbue.Sasa mmeanza kushughulikiana ili kuvuruga ushahidi katika mikataba yenu mibovu mnayoifanya.Kama vile nyie huko chadema hamfi, Subiri mumeo mbowe afe ndo uje na kilio.
Kauli za kinanihii sana hiziWatauana sana
Bado hujasema 😂Pumbavu mkubwa wewe mmemfunga Tundu Lisu ili asiwaumbue.Sasa mmeanza kushughulikiana ili kuvuruga ushahidi katika mikataba yenu mibovu mnayoifanya.
NdiyeAliyekuwa anagombea ubunge siyo huyu?