Haipaswi kuwa hivyo. Kuuana kwa sababu za kisiasa ni jambo lisilokubalika.Hawa jamaa watauana hadi wamalizane.
Sio kila mti wa kuparamia mingine michongoma.!Hiyo code yako balaa
Akijichanganya sana mkusanyiko wa watu ule hatari sana nyakati hiziHuyu timu Polepole, ndiyo maana akina kassimu na mpango walijiondoa mapema kuepuka kuuawa na timu wahuni
Ndugai hakua mzalendo! Labda mzalendo wa tumbo lake.Vita Inakua Kali.
Kwa mara nyingine Wana mtandao wamefanikiwa kumuondoa Moja ya Mzalendo wa Taifa.
KOSA MOJA ALOFANYA NDUGAI, ni kutojiamini katika Kila anachokisema.
Anasema Leo hivi, kesho anaomba MSAMAHA.
Hii Majuzi wakati Samia anaahirisha Mkutano wa Wajumbe na kutimkia Zanzibar, zipo taarifa za uhakika kua Wazalendo walitaka kutoa Hoja ya kumuondoa Samia .
Ndugai alipoona Samia Kastuka nankukimbilia Zanzibar, akaanza Tena kuomba omba MSAMAHA.
Wamemuacha aingie kwenye Mbionza utia Nia, kwenye Kampeni kapigwa Tukio.
Leo Kafa.
Wazalendo Tujifunze namna ya Kupambana na vita za watu wahuni.
KOSA hilihili pia ndio ALILOFANYA MAGUFULI .
Nimeumizwa sana na Kifo Cha Mzalendo huyu.
Nina hakika wale wanamshikiria Tundu hawana mioyo ya binadamu, sio kwa ukatiri ule; shetani akasome yaani so sioni kama wanaweza kujifunza chochote kupitia kifo hikiKuna uwezekano mkubwa Lissu akatolewa wiki ijayo maana kifo hiki kitakuwa kimewapa wengi funzo na somo.
Nao watakuwa waoga Kwa kuogopa yajayo na hivyo kuona umuhimu wa kumuachia huru
Amani gani? Huyu atakutana na moto tuMarehemu hasemwi,ila sizani kama atapumzika kwa amani.
Kweli kabisa. Ila madaraka ya kisiasa kwa nchi yetu uwe mafia. Nakumbuka mzee malecela alishawahi naye ua watu kibao mbaya ile ya yule Dakitari walimuua miaka ile. Sema Ndugai hakwenda kuchukua ushauri kwa Mzee Malecela aliyepata bahati ya kusoma kisa chief wake alikataa kupeleka watoto wake shule ikabidi apelekwe Malecela mbadala wakiamini mateso na hiyo familia ya ki chief malecela hajawahi isaidia kabisa na ndiyo maana hata familia ya malecela wana laana sidhani kama kuna mtu atainuka hata huyo kijana sidhani kama atatamba muda mrefuSio kila mti wa kuparamia mingine michongoma.!
Duuuh!!!J8pm aliuawa hiyo ni confirmed 💯 %, na ndiyo maana kuuana hakutakuwa na mwisho maana yake watu wamejaa visasi balaa. Kama unakumbuka kuna uzi mdau mmoja aliwahi tahadharisha kuwa rais aliyepo madarakani akifa nchi inaweza kuwa kwenye hali ya tahadhari mpaka miaka 50, lengo ni kujitafuta nani alimuua na nani alihusika. Ndiyo maana tunaamini wauaji wa Dkt Magufuli watakuja kujulikana wengine watauawa kwa risasi wengine kufungwa maana watu wa usalama sidhani kama watakubali hii aibu ya karne. Ndiyo maana mi nikiangalia sasa hili kundi lililoshiriki kumuua Dkt Magufuli lazima liwe na mkono wa chuma ili watu wa Falsafa ya Dkt Magufuli kama Waziri Mkuu, na makamu wa rais Dkt Mpango wawe nje kabisa ya utawala maana wanaamini wanaweza lipiza kisasi wakishika madaraka na ndiyo maana hata ndugai kwenye u spika alikuwa tishio ndiyo maana wamemuwahisha. Polepole naye ajiandae na akina Gwajiboy hili kundi huenda linawatafuta kuwaua
Alikua mgonjwa long sana. Ila pia ni team slowslow. Samia hajawahi kumuamini.May be, kuna uwezekano kabisa.... japo nasikia mtu mwenyewe ni mgonjwa wa siku nyingi....
Mshindi wa pili atachuka nafasithen nani atapigiwa kura sasa?
Mungu kaamua ampige mnada kabla nchi haijapigwa mnada.
Sana wahuni wametuma ujumbe kwa Polepole na GwajiboyVita Inakua Kali.
Kwa mara nyingine Wana mtandao wamefanikiwa kumuondoa Moja ya Mzalendo wa Taifa.
KOSA MOJA ALOFANYA NDUGAI, ni kutojiamini katika Kila anachokisema.
Anasema Leo hivi, kesho anaomba MSAMAHA.
Hii Majuzi wakati Samia anaahirisha Mkutano wa Wajumbe na kutimkia Zanzibar, zipo taarifa za uhakika kua Wazalendo walitaka kutoa Hoja ya kumuondoa Samia .
Ndugai alipoona Samia Kastuka nankukimbilia Zanzibar, akaanza Tena kuomba omba MSAMAHA.
Wamemuacha aingie kwenye Mbionza utia Nia, kwenye Kampeni kapigwa Tukio.
Leo Kafa.
Wazalendo Tujifunze namna ya Kupambana na vita za watu wahuni.
KOSA hilihili pia ndio ALILOFANYA MAGUFULI .
Nimeumizwa sana na Kifo Cha Mzalendo huyu.
Unajuaje kama ukimwi ulimtafuna hadi mainiNdio imbebe leo amnaa bana.
Huyu mzee wamepita naye.. Ngoja nisubiri report ya postmortem