Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
KUKOSA WADHFA SI JAMBO DOGO KUNAUA WADAU.
Ndo maana yule mzee wa msoga Kagoma kustaafu, kila siku yuko majukwaani na tai yake nyekundu.KUKOSA WADHFA SI JAMBO DOGO KUNAUA WADAU.
Inasikitisha sanaAlieye mnyima mwenzie hela ya matibabu kuondoka bila kutibiwa, tuishi kwa kuoendana hujui kesho ako
Israel mtoa roho na maradhi yake ya mda mrefuNani kamuua
Terrible.Mkuu, umeandika jibu kamili kabisa.
Give them false hope because it won't help them.
It's like saying: Thank you - and goodbye!
Umesema ^kushindishwa^ na wajumbe, nikakumbuka ule ^ushindishwaji^ wa 2020 na tuio lililofuata mara baada ya hapo - March 17, 2021.
dhuu, codes zako nazielewa manake zinzfanania na ambazo nizisikia mahala ikabidi nizibe masikio manake nilona ni za hatari sanaKweli kabisa. Ila madaraka ya kisiasa kwa nchi yetu uwe mafia. Nakumbuka mzee malecela alishawahi naye ua watu kibao mbaya ile ya yule Dakitari walimuua miaka ile. Sema Ndugai hakwenda kuchukua ushauri kwa Mzee Malecela aliyepata bahati ya kusoma kisa chief wake alikataa kupeleka watoto wake shule ikabidi apelekwe Malecela mbadala wakiamini mateso na hiyo familia ya ki chief malecela hajawahi isaidia kabisa na ndiyo maana hata familia ya malecela wana laana sidhani kama kuna mtu atainuka hata huyo kijana sidhani kama atatamba muda mrefu
Mshaanza sasa kwahiyo we akili yako inakutuma kwamba ameuawa? Upumbavu mtupu siku zako zikifika utaondoka tu duniani no matter whatHuu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unakoelekea siko
Yawezekana ni man made japo tulishaambiwa kifo ni kifo tuNi natural death?
Uliyeandika huu wasifu ni KIpunga,Shule ya msingi 1991-1997 ????? ,Shame !
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Kamati ya Mazishi pamoja na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
WASIFU MDOGO WA JOB NDUGAI
Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Amesoma Stashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Mweka kuanzia mwaka 1986-1988, kisha Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1989-1993).
Amesoma Post Graduate kutoka Chuo cha Kilimo nchini Norway kuanzia 1994-1995 na kusoma Shahada ya Umahiri kutoka chuo hicho (1995-1996).
Safari yake ya elimu iliishia Eastern and Southern African Management Institute ambapo alisoma Shahada ya Umahiri katika Usimamizi wa Biashara (2005-2008)
Amekuwa Mbunge wa Kongwa kwa miaka 25 sasa (tangu mwaka 2000) na ameshika nafasi mbalimbali ndani ya kamati za bunge.
Alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Novemba 17, 2015 baada ya kupata kura 254 kati ya 365, na mpinzani wake Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA akipata kura 109, huku kura mbili zikiharibika. Kabla ya hapo alihudumu kama Naibu Spika wa Bunge tangu mwaka 2010.
Katika uongozi wake wa bunge, mambo kadhaa yameibua mjadala mkubwa ikiwemo sakata la wabunge 19 wa CHADEMA wanaodaiwa kuvuliwa uanachama wao, na kuhojiwa kwa baadhi ya wabunge akiwemo Josephat Gwajima na Jerry Muro kwa madai ya kushusha hadhi na heshima ya bunge.
Suala jingine ni kumtaka mmoja wa wabunge aliyedai amevaa nguo zisizo za staha kutoka ndani ya ukumbi wa bunge. Uamuzi huo ulikosolewa vikali, wakosoaji wakieleza kwamba vazi la mbunge huyo halikuwa na tatizo. Karibuni, amezua mjadala tena kwa kusema Tanzania haitakiwi kukopa ili kufadhili miradi ya maendeleo.
Mbali na ubunge, amefanya kazi sehemu nyinginezo ikiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Pori la Akiba Selous na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
Januari 6, 2022 amejiuzulu nafasi ya Uspika kutokana na sababu binafsi na kwa hiari yake.
Ndugai ni mume wa Fatuma Mganga.
Na yeye aliepata idhini ya matibabu toka bungeni ndo kaondoka na wamemuacha walie mnyima matibabu ili afe..Asingemnyima ndio asingekufa?
Wanapaswa wauane kwasababu gani ukiacha Siasa Mtumishi?Haipaswi kuwa hivyo. Kuuana kwa sababu za kisiasa ni jambo lisilokubalika.
Wapumbavu sana hawa baadhi ya hawa wajinga wa Chadema kwahiyo kifo ni adhabu? Hapo ndipo Chadema wanakosa credibility kabisaFala sana wewe,kifo hakipo dunia hii!?.. ndugai hakuwa mgonjwa!?..mbwa sana nyi wavaa kombati
Huo mwaka wa shule ya Msingi ni wa kurekebishaAlizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
RIP SCHOOL MATE WANGUAliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla. Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa nafasi ambayo ameendelea kuitetea kwa kuchukua fomu tena mwaka huu ambapo ameshinda kwenye kura za maoni. Ndugai ambaye amezaliwa January 22,1960 alishinda kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Kongwa kwa kupata kura 569
View attachment 3434043
Kama hivyo ndivyo, wale watu waliomfukuza kwenye kiti cha uspika na kutaka kumuua iwapo angekaidi kuondoka, unadhani angegombea uspika tena awamu hii wangeshindwa kummaliza?nadharia ya kijinga jinga ni huyu kauawa vita vya madaraka maana angerudi bungeni angeweza kushinda u spika halafu akaisumbua serikali iliyoko kwa madaraka. Na ukumbuke ndiye alipangwa kuwa presida baada ya jpm kwa katiba ya makamu hawezi kwa kupindua meza (kwa mujibu wa umbea wa foma cdf), mpango ulipogoma wakatafuta platfomu akajichanganya akaandikishwa barua ya kujihudhuru (alitaka kugoma malecela akamfuata akamuambia watakuua achia u spika-hii aliwahi share yeye mwenyewe marehemu ndugai), maana yake wale waliotaka kumuua akiwa spika endapo angekataa ndiyo hao hao waliommaliza now ili asije shindania u spika