Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Inasikitisha sana.
hebu rekebisha hapo kwenye elimu ya msingi: nadhani ni 1971-1977Alizaliwa Januari 21, 1963 na kupata elimu ya msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984.
Alikwisha teuliwa kuwa mgombea UbungeKUKOSA WADHFA SI JAMBO DOGO KUNAUA WADAU.
Ila huyu mwamba kipindi cha Magu alikuwa zaidi ya Ibilisi"Utapambana na spika kweli? Naweza kukupiga marufuku kuongea humu na miaka yako yote ikaisha na hakuna pa-kwenda. Hakuna cha swali. Hakuna cha nyongeza. Hakuna kuongea chochote ndani ya Bunge. Utanifanya nini? Pambana na kitu kingine siyo Ndugai.”
- Job Ndugai, 13 Septemba 2017
Jeuri yote hii sasa hivi anaenda kuozea kaburini kmmmk
Ni kweli tunakufa kila cku ila chakushangaza ni nyie mliotaka kumuona Lissu akifa mapema naona ndo mnapukutika..Naye si atakufa?
Wanakufa watu kila siku, je walimyima Lissu matibabu?
Akili huwa mnafanyia nini?
Na yeye si atapukutika?Ni kweli tunakufa kila cku ila chakushangaza ni nyie mliotaka kumuona Lissu akifa mapema naona ndo mnapukutika..
Alikuwa mshenzi sana na kiburi bora alivyokufa akaungane na diktetaIla huyu kwamba kipindi cha Magu alikuwa zaidi ya Ibilisi
nimefurahi sana tena sanaa,Nimeumia sana kiukweli nitakumbuka ila pia wanakongwa pole sana
J8pm aliuawa hiyo ni confirmed 💯 %, na ndiyo maana kuuana hakutakuwa na mwisho maana yake watu wamejaa visasi balaa. Kama unakumbuka kuna uzi mdau mmoja aliwahi tahadharisha kuwa rais aliyepo madarakani akifa nchi inaweza kuwa kwenye hali ya tahadhari mpaka miaka 50, lengo ni kujitafuta nani alimuua na nani alihusika. Ndiyo maana tunaamini wauaji wa Dkt Magufuli watakuja kujulikana wengine watauawa kwa risasi wengine kufungwa maana watu wa usalama sidhani kama watakubali hii aibu ya karne. Ndiyo maana mi nikiangalia sasa hili kundi lililoshiriki kumuua Dkt Magufuli lazima liwe na mkono wa chuma ili watu wa Falsafa ya Dkt Magufuli kama Waziri Mkuu, na makamu wa rais Dkt Mpango wawe nje kabisa ya utawala maana wanaamini wanaweza lipiza kisasi wakishika madaraka na ndiyo maana hata ndugai kwenye u spika alikuwa tishio ndiyo maana wamemuwahisha. Polepole naye ajiandae na akina Gwajiboy hili kundi huenda linawatafuta kuwaua
Na Bado tutazika snnimefurahi sana tena sanaa,
Sio yeye to hata mimi nawewe..Na yeye si atapukutika?
Au ataishi milele?
Hapana alipiga sana punyeto inasemekanaAlikua anaumwa?
Hivyo basi kifo hakihusiani na u wema au ubaya wa mtu.Sio yeye to hata mimi nawewe..
Ila jambazi anasumbua mtaani kwako akifa si utashukuru??Hivyo basi kifo hakihusiani na u wema au ubaya wa mtu.
Ni ujunga kuhusianisha kifo na tabia, kwamba alikuwa hivi ila amekufa.
Huku ukijua hata wewe utakufa.
Sina mwanasheria 😂Mtu wa system 😹😹
Sina mwanasheria 😂Mtu wa system 😹😹