Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hamna kupumzika huyu....Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi si nyingi nazo hujaa taabu Ayubu 14:1
Pumzika Mheshimiwa Spika
Hamna kupumzika huyu....Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi si nyingi nazo hujaa taabu Ayubu 14:1
Pumzika Mheshimiwa Spika
Chadema wajinga wanasahau marehemu hawezi kujiteteaMsipokuwa waelewa na kuendana na upepo unavyovuma mtakuwa wajinga na wapumbavu na hii nchi CDM kuikamata haitotokea kwa akili hizi...
Ukitaka kufanya siasa kwenye kila kitu huwezi kufika popote, kuna muda tumia akili, na hapo CCM ndipo inawazidi kila siku...
Ok uzi wa tanzia huu, RIP JOB NDUGAI
Kama aliiba na yeye kawahiwaAliiba kura na matokeo yalitangazwa usiku wa manane
Mjomba hii nchi iko wazi mno!Wewe tetesi umeitoa wapi?
Huyu timu Polepole, ndiyo maana akina kassimu na mpango walijiondoa mapema kuepuka kuuawa na timu wahuni
Pia inawezekana amekufa natural death kwasababu pia alikua mgonjwa. Unakumbuka alikaa India muda gani kipindi cha jiwe.nadharia ya kijinga jinga ni huyu kauawa vita vya madaraka maana angerudi bungeni angeweza kushinda u spika halafu akaisumbua serikali iliyoko kwa madaraka. Na ukumbuke ndiye alipangwa kuwa presida baada ya jpm kwa katiba ya makamu hawezi kwa kupindua meza (kwa mujibu wa umbea wa foma cdf), mpango ulipogoma wakatafuta platfomu akajichanganya akaandikishwa barua ya kujihudhuru (alitaka kugoma malecela akamfuata akamuambia watakuua achia u spika-hii aliwahi share yeye mwenyewe marehemu ndugai), maana yake wale waliotaka kumuua akiwa spika endapo angekataa ndiyo hao hao waliommaliza now ili asije shindania u spika
Ni kweli, sema alikuwa muoga sanaNdugai all in all alikua mzalendo sio jambazi kuna wizi na jambazi huyu alikua mwizi wa kawaida mwenye uchugu na Nchi
Hapana 😂 ni mwaka wa MunguMwaka wa SHETANI
Ni kweli inawezekana kabisa sema sasa unajua kipindi hiki lazima tuweke zile nadharia za kimbeya mbeya sababu kuu ni Dkt Samia kushindwa kuleta umoja wa kukemea mauaji na kuacha kifo cha Mzee Kibao bila majibu na mdude kuuawa bila sababuPia inawezekana amekufa natural death kwasababu pia alikua mgonjwa. Unakumbuka alikaa India muda gani kipindi cha jiwe.
Dom au sala sala mkuuWalioko hapo kwa ndugai Twambieni kuna tukio kubwa
🙏🏽
Britanicca
Kuna kipindi si aliendaga India kwa matibabu na alikaa kidogoNi kweli inawezekana kabisa sema sasa unajua kipindi hiki lazima tuweke zile nadharia za kimbeya mbeya sababu kuu ni Dkt Samia kushindwa kuleta umoja wa kukemea mauaji na kuacha kifo cha Mzee Kibao bila majibu na mdude kuuawa bila sababu
😄 mwandishi kapiga visungura itakuwaIla waandishi bwana,alizaliwa mwaka 1963 na alianza elimu ya msingi mwaka 1991
Nani kamuuaBREAKING NEWS ‼️ Aliyekuwa Spika wa Bunge nchini Tanzania 🇹🇿 na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai, afariki Dunia!…
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!… 🙏🏾
RIP 🪦🕊️