Uyu akateketee kwenye Moto wa milele
Siamini ktk kuombeana.. Matendo yako ya hapa duniani na vitu gani uliacha kwa ajili ya jamii ndivyo vitakavyokubeba.Tumuombee
DuhTruth be told
Marehemu alikuwa mmoja ya wanasiasa wajivuni mno walioona wapinzani kama takataka enzi hizo akivaa majoho kama Padre...
Mwisho wa siku kile kiburi, majivuni, roho mbaya vinamezwa na udongo...
tatizo mwanadam anaishi kwa kujisahau sanaMarehemu hasemwi ..ameumaliza mwendo!!kinachobakia kiwe tu fundisho kwa wengine kua death is real
Unachukuliwa tu faster sekunde 1 hata kama umejipigia kura na kujipitisha mwenyewe
He was not a spiritual being sehemu yoyote ukiona watu hawakupendi unabidi kuondoka hiyo sehemu.Marehemu hasemwi ..ameumaliza mwendo!!kinachobakia kiwe tu fundisho kwa wengine kua death is real
Unachukuliwa tu faster sekunde 1 hata kama umejipigia kura na kujipitisha mwenyewe
May be alikua na blindspot hakuonaHe was not a spiritual being sehemu yoyote ukiona watu hawakupendi unabidi kuondoka hiyo sehemu.
Kuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaaHuyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Nasikitika hata familia yake hawakumpa ushauri huu.May be alikua na blindspot hakuona
So sad that's karmic debtKuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaa
Sana, tutende wema aisee yule Mama na ulokole wake aligoma kutoa rushwa mahakamani kabisa kwa sababu walimtengenezea hiyo kesi. Ndiyo maana hata Dkt Samia hivi vifo vya watakatifu anaonywa, ghazabu ya Mungu aliye hai ni kuu. Huwezi fungia kanisa uwe hai au kuagiza watu kama mdude wauawe ka inzi au Mzee Kibao auawe kwa kutobolewa macho useme kifo ni kifo tu bila hatuaSo sad that's karmic debt
Sasa kinachofuata kuwa fundisho Ndio kinasemwa sana! Mbona shetani, Frao, Goliath, Muhamad, Hitler, Mussolin mpaka vitabu wameandikiwa kabisa Kwa ajili ya kumbukumbu zisifutike?Marehemu hasemwi ..ameumaliza mwendo!!kinachobakia kiwe tu fundisho kwa wengine kua death is real
Unachukuliwa tu faster sekunde 1 hata kama umejipigia kura na kujipitisha mwenyewe
Muhammad tenaSasa kinachofuata kuwa fundisho Ndio kinasemwa sana! Mbona shetani, Frao, Goliath, Muhamad, Hitler, Mussolin mpaka vitabu wameandikiwa kabisa Kwa ajili ya kumbukumbu zisifutike?